Hii ndio hali ya Bumbuli ambayo Mbunge wake ni Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,964
218,795
Mara baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge Mheshimiwa January Makamba aliweka utaratibu wa wana Bumbuli kutoa kero zao

Screenshot_2024-04-23-18-55-21-1.png

Lakini pamoja na kero hizo kutumwa hali ndio kama mnavyoona .

Screenshot_2024-04-23-18-56-18-1.png

Jambo la Muhimu ambalo hupaswi kusahau ni kwamba , January Makamba alipita bila kupingwa
 
Lushoto ilitakiwa iwe ni Switzerland 🇨🇭 ya Tanzania,nilibahatika kufika kule last December,Mwenyezi Mungu kawapa super wilaya ila wale wabunge wake 3 ni zeros kabisa,yaani hawawezi kujenga hata ile barabara ya mombo to mlalo,yaani barabara ipo vile vile alivyoiacha mjerumani,ilitakiwa ile pass ilambwe vema,jenga cable cars kutoka kule milimani hadi barabara kuu ya Moshi,jenga virukio vya maparachuti,yaani hizi ni vyanzo vya usd tu,vijana wake wamekua vibarua na maisha yao wamejikatia tamaa
 
Nchi za AFRICA zote hufanana ukitoa waarabu na south Africa
Mkuu tembelea Namibia 🇳🇦 na Botswana 🇧🇼 kupo super,A3 yao ni super pamoja kuwa inapita kwenye national park (more than 300km za mbugani tu),pale mikumi national park (50km kuna matuta yasiyopungua 40!!na wanaopita pale hasa usiku pls guys kuwa careful,kuna handaki pale linaumiza magari kila siku ,lipo pale getini ukitokea Duma,ni hatari mno)
 
Lushoto ilitakiwa iwe ni Switzerland 🇨🇭 ya Tanzania,nilibahatika kufika kule last December,Mwenyezi Mungu kawapa super wilaya ila wale wabunge wake 3 ni zeros kabisa,yaani hawawezi kujenga hata ile barabara ya mombo to mlalo,yaani barabara ipo vile vile alivyoiacha mjerumani,ilitakiwa ile pass ilambwe vema,jenga cable cars kutoka kule milimani hadi barabara kuu ya Moshi,jenga virukio vya maparachuti,yaani hizi ni vyanzo vya usd tu,vijana wake wamekua vibarua na maisha yao wamejikatia tamaa
Maendeleo ya eneo lolote hufanywa na wakazi husika kutokana na fikra na vitendo vyao katika shughuli za kiuchumi (mbunge ni mwananchi anayewakilisha maoni na kero zao bungeni, ili serikali ipate taarifa ikatatue, hasa kwa zile huduma muhimu kama elimu, afya, barabara, maji, ....).
Hata hivyo, wananchi wanaweza kuiwajibisha serikali kwa kuiondoa madarakani (kupitia kura au njia nyingine halali), pale wanapoona haifanyi kulingana na matakwa au mategemeo yao.
 
Mkuu tembelea Namibia 🇳🇦 na Botswana 🇧🇼 kupo super,A3 yao ni super pamoja kuwa inapita kwenye national park (more than 300km za mbugani tu),pale mikumi national park (50km kuna matuta yasiyopungua 40!!na wanaopita pale hasa usiku pls guys kuwa careful,kuna handaki pale linaumiza magari kila siku ,lipo pale getini ukitokea Duma,ni hatari mno)
Nimemuongezea Mauritius na Cape Verde
 
Maendeleo ya eneo lolote hufanywa na wakazi husika kutokana na fikra na vitendo vyao katika shughuli za kiuchumi (mbunge ni mwananchi anayewakilisha maoni na kero zao bungeni, ili serikali ipate taarifa ikatatue, hasa kwa zile huduma muhimu kama elimu, afya, barabara, maji, ....).
Hata hivyo, wananchi wanaweza kuiwajibisha serikali kwa kuiondoa madarakani (kupitia kura au njia nyingine halali), pale wanapoona haifanyi kulingana na matakwa au mategemeo yao.
Ikumbuke kwamba January Makamba alipita bila kupingwa
 
Back
Top Bottom