Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,212
- 6,972
Ukiiangalia hii video toka mwanzo hadi mwisho utakubaliana nami, huku ndo Africa tunafaa kuelekea, mambo ya kutegemea China kwa kila kitu tuache, imagine kitu rahisi kama router ya mtandao wa 4G ama decoder ya TV tunaagizia kutoka nje, je ushawahi kuifungua hapo ndani uangalie vile ni very simple circuit board!
Eti charger za simu hadi leo bado tunaagizia kutoka nje!!!! Hivi ni baadhi ya vitu tunafaa tuwe tunatengeneza wenyewe bana! tutaacha lini kutegemea kila technologia kutoka nje, huyu jamaa
Eti charger za simu hadi leo bado tunaagizia kutoka nje!!!! Hivi ni baadhi ya vitu tunafaa tuwe tunatengeneza wenyewe bana! tutaacha lini kutegemea kila technologia kutoka nje, huyu jamaa