Hii hapa Miji na Wilaya 60 zenye mapato mengi na mzunguko mkubwa wa biashara Tanzania

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
44,144
50,839
Kwa wale ambao Huwa mnauliza wapi mnaweza kuwekeza na kufungua biashara basi sogezi siti.

Tanzania Ina Jumla ya Halmashauri za Majiji,Miji na Wilaya 184,kati ya hizo ni Wilaya 60 ndio Zina mzunguko mkubwa wa biashara na watu wake Wana kipato Cha uhakika na purchasing power kubwa.

Wilaya na Miji hii 60 zimepatikana kutokana na Wingi wa Makusanyo Yake ya ndani ambayo Kwa sehemu kubwa Huwa ni Mapato ya shughuli za Wananchi Moja kwa Moja.

Kwa mujibu wa kiambata Cha Bajeti ya Tamisemi,Zifuatazo ndio Wilaya na Miji/Majiji 60 yenye Mapato ya Ndani makubwa zaidi yanayoanzia Tsh.4.0 Bilions na kuendelea Kwa takwimu za mwaka wa Fedha 202/2023.

1.Dar CC =240.8
2.Dodoma CC=44.46
3.Arusha CC=32.9
4.Mwanza CC =32
5.Mbeya CC=18.65
6.Tanga CC=17.9
7.Morogoro MC=13.4
8.Chalinze DC=13.2
9.Tunduma TC=12.8
10.Geita TC=12.4
11.Mkuranga DC=10.4
12.Kahama MC=10.0
13.Tanganyika DC=9.5
14.Tarime DC=8.5
15.Njombe TC=8.2
16.Muleba DC=7.1
17.Moshi MC=6.73
18.Mbinga DC=6.7
19.Mbarali DC=6.79
20.Songea MC=6.4
21.Kilwa DC=6.39
22.Geita DC=6.31
23.Morogoro DC=6.27
24.Rungwe DC=6.22
25.Misenyi DC=5.8
26.Tabora MC=5.74
27.Mafinga TC=5.73
28.Mufindi DC=5.65
29.Kilosa DC=5.6
30.Chunya DC=5.54
31.Kyela DC=5.48
32.Singida MC=5.38
33.Msalala DC=5.38
34.Kibaha TC=5.32
35.Iringa MC=5.31
36.Bagamoyo DC=5.3
37.Shinyanga MC=5.25
38.Rufiji DC=5.24
39.Mbozi DC=5.14
40.Arusha DC=5.0
41.Kaliua DC=4.93
42.Karatu DC=4.92
43.Mbeya DC=4.7
44.Mlimba DC=4.50
45.Serengeti DC=4.48
46.Hanang' DC=4.48
47.Wanging'ombe=4.46
48.Kyerwa DC=4.44
49.Rombo DC=4.42
50.Ruangwa DC=4.36
51.Tunduru DC=4.34
52.Ngara DC=4.34
53.Kongwa DC=4.29
54.Ifakara TC=4.26
55.Karagwe DC=4.24
56.Nachingwe DC=4.21
57.Kilolo DC=4.17
58.Mtwara MC=4.16
59.Masasi DC=4.12
60.Iringa DC=4.0

cc Kitombile ,instanbul ,Accumen Mo Mkoa wa Pwani,Mbeya na Dar iko Vizuri sana.Pia soma Orodha ya majiji, miji na wilaya zenye mzunguko mkubwa wa hela Tanzania

My Take
Kuna Mikoa ukienda kutafuta maisha unaweza ambulia umaskini mfano Rukwa,Simiyu na Kigoma 🤣🤣
 
Attachments

  • Bajeti Tamisemi 2024-25.pdf
    2.2 MB · Views: 7
Kwa wale ambao Huwa mnauliza wapi mnaweza kuwekeza na kufungua biashara basi sogezi siti.

Tanzania Ina Jumla ya Halmashauri za Majiji,Miji na Wilaya 184,kati ya hizo ni Wilaya 60 ndio Zina mzunguko mkubwa wa biashara na watu wake Wana kipato Cha uhakika na purchasing power kubwa.

Wilaya na Miji hii 60 zimepatikana kutokana na Wingi wa Makusanyo Yake ya ndani ambayo Kwa sehemu kubwa Huwa ni Mapato ya shughuli za Wananchi Moja kwa Moja.

Kwa mujibu wa kiambata Cha Bajeti ya Tamisemi,Zifuatazo ndio Wilaya na Miji/Majiji 60 yenye Mapato ya Ndani makubwa zaidi yanayoanzia Bilioni 4.0 na kuendelea Kwa takwimu za mwaka wa Fedha 202/2023.

1.Dar CC =240.8bln
2.Dodoma CC=44.46bln
3.Arusha CC=32.9bln
4.Mwanza CC =32nln
5.Mbeya CC=18.65bln
6.Tanga CC=17.9bln
7.Morogoro MC=13.4bln
8.Chalinze DC=13.2bln
9.Tunduma TC=12.8bln
10.Geita TC=12.4
11.Mkuranga DC=10.4
12.Kahama MC=10.0bln
13.Tanganyika DC=9.5bln
14.Tarime DC=8.5bln
15.Njombe TC=8.2bln
16.Muleba DC=7.1bln
17.Moshi MC=6.73bln
18.Mbinga DC=6.7bln
19.Mbarali DC=6.79
20.Songea MC=6.4bln
21.Kilwa DC=6.39bln
22.Geita DC=6.31bln
23.Morogoro DC=6.27bln
24.Rungwe DC=6.22bln
25.Misenyi DC=5.8bln
26.Tabora MC=5.74bln
27.Mafinga TC=5.73bln
28.Mufindi DC=5.65bln
29.Kilosa DC=5.6
30.Chunya DC=5.54
31.Kyela DC=5.48
32.Singida MC=5.38
33.Msalala DC=5.38
34.Kibaha TC=5.32
35.Iringa MC=5.31
36.Bagamoyo DC=5.3
37.Shinyanga MC=5.25
38.Rufiji DC=5.24
39.Mbozi DC=5.14
40.Arusha DC=5.0
41.Kaliua DC=4.93
42.Karatu DC=4.92
43.Mbeya DC=4.7
44.Mlimba DC=4.50
45.Serengeti DC=4.48
46.Hanang' DC=4.48
47.Wanging'ombe=4.46
48.Kyerwa DC=4.44
49.Rombo DC=4.42
50.Ruangwa DC=4.36
51.Tunduru DC=4.34
52.Ngara DC=4.34
53.Ifakara TC=4.26
54.Karagwe DC=4.24
55.Nachingwe DC=4.21
56.Kilolo DC=4.17
57.Mtwara MC=4.16
58.Masasi DC=4.12
59.Iringa MC=4.0
60.Mtwara DC=3.93.

cc Kitombile ,instanbul ,Accumen Mo Mkoa wa Pwani,Mbeya na Dar iko Vizuri sana.Pia soma Mikoa 10 iliyokusanya mapato mengi mwaka wa Fedha 2022/23 kupitia halmashauri zake

My Take
Kuna Mikoa ukienda kutafuta maisha unaweza ambulia umaskini mfano Rukwa,Simiyu na Kigoma
Asante kuna la kujifunza na kujua wapi pa kuanzia kwa vijana wanao tafuta kujiajiri
 
Kinachoibeba haswaa Dodoma ni ubora wa mipangomji ambayo ina effect mpaka kwenye ukusanyaji kodi systematically cc ILAN RAMON Mikdde
 
Kinachoibeba haswaa Dodoma ni ubora wa mipangomji ambayo ina effect mpaka kwenye ukusanyaji kodi systematically cc ILAN RAMON Mikdde
Dodoma imeshuka kimapato Kwa kiasi ,walikuwa wanacheza kwenye Bil.45-50 na Kuna wakati walifikosha Bil.70 ila saizi naona wanaenda kinyume nyume.

Mwanza na Dom wameanza kutia aibu..Mwanza cc+Ilemela MC Bado Wameshindwa kuipitia Arusha 😂😂
 
Sijui ni mbinu gani itumike kuchochea competition baina ya halmashauri nchini bila kuathiri utangamano wa kitaifa nchi ingekuwa mbali sana.
Mbinu ya kushindanisha Kwa kuzipanga ya kwanza Hadi ya mwisho na kuwashughulikia Mameya na Wakurugenzi.

Nchi za wenzetu kama China huko Majimbo yanashindana kwenye masuala ya Uchumi na Biashara,yaani sisi watu Wana underperform then tunawachekea.
 
Back
Top Bottom