A
Anonymous
Guest
Nimeiangalia kwa jina la kizalendo na kugundua kuwa hii barabara inahitaji matengenezo makubwa.
Barabara hii ni mzigo kwa Serikali na walipa kodi.
Mbaya zaidi Wakala wa Barabara - TANROADS Dodoma wao wanachimba wanajaza udongo wanaondoka, tofauti na upande wa Iringa ambao wao wanaziba mashimo na wanajitahidi ku-maintain barabara.
Wananchi tumelalamika sana kuhusu hii changamoto, ukiangalia hapo kwenye video utaona jinsi gani ambavyo dereva unahitaji kuwa makini, la sivyo unaweza ajali ni nje-nje au kuharibu magari.
DKT Tulia: Mtambo wa kupima Ubora wa Barabara kuleta Mageuzi Tanzania
MITAMBO YA KUPIMA UBORA WA BARABARA KULETA MAGEUZI: DKT. TULIA SPIKA wa Bunge, Dkt. Tulia Akson ameisisitiza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) kuhakikisha miradi yote ya barabara inayokamilia inapimwa ubora kwa kutumia vifaa maalum kabla ya Makandarasi kuikabidhi kwa...
www.jamiiforums.com