HI

MANI

Platinum Member
Feb 22, 2010
7,320
6,378
Hello wana jf,

Wakubwa wangu shikamooni na rika langu hali zenu, nipokeeni ili tuchangie pamoja.
 
Marhaaaba mtoto mzuri karibu ndani bana, ingia tu na viatu hakuna shida. Keti hapo toa mawazo yako wosia wangu usibadilike kitabia huko mbeleni eeh umesikia?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom