Geuka tuone
Member
- Jun 19, 2023
- 27
- 91
Hello,
Mimi mgen humu....naomben kujuzwa huu mtandao unavyofanya kazi.
Asante
Mimi mgen humu....naomben kujuzwa huu mtandao unavyofanya kazi.
Asante
ShukranKaribu sana JamiiForums...
Asante sana ...GT ndio nini?Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
TayariHebu geuka nikuone.
TayariCha kwanza weka picha yako ndio utambulisho wako 😁😁😁
Asanteee sanakaribu JamiiForums
Great Thinkers.Asante sana ...GT ndio nini?
Ongezea KILA mtu ni usalama wa taifa!Karibu JF humu kila mtu ana Degree,Usafiri binafsi,Nyumba ambayo ina kila furniture aina zote uzijuazo na kiherehere!!
Wa nani?Mwandiko huu naujua.