Hawa viongozi mbona kama wameyatelekeza maeneo yao, wanasubiri hadi muda wa Uchaguzi waje kutupanga tena

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,435
8,254
Wakuu, hivi mmegundua kila unapofika mwaka wa Uchaguzi wowote uwe wa Serikali za Mitaa au Uchaguzi Mkuu, ndio muda ambao miradi mingi huwa inadorora! Barabara zinakuwa mbovu kupita maelezo, huduma za muhimu zinakwama hadi karibu na muda wa kampeni ndio unawaona Wagombea wanarudi na ahadi kibao.

Utasikia mkinipi miaka mingine nitatatua shida zote za eneo hili, na ubaya ni kwamba wananchi wengi huwa wanadanganyika na wanawapa kura tena.
 
Babutale hatumtaki tena Morogoro, alichofanikiwa yeye ni kuwaleta Wasafi tu kurukaruka wakati wa kampeni.
 
Back
Top Bottom