Hawa ndiyo wahenga Bongo waliooa wazungu

Heshima kwenu wakuu!
Kwa mwenye kuelewa, naomba anisaidie kuwataja wahenga wa Bongo kutoka tasnia mbalimbali, kuanzia siasa, muziki na kadhalika, waliooa wake wazungu.

Kwa kuanzia, nimepata orodha fupi, ya mzee Kingunge, naambiwa mkewe ni Mrusi, lakini pia Profesa Sarungi naye mkewe ni Mrusi, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Binilith Mahenge naye alivuta jiko kutoka mbele sambamba na marehemu Dokta Remmy ambaye naye ameacha mjane Mzungu.

Nitashukuru kama nitapata ushirikiano chanya!

Wasalaam.View attachment 638750
Profesa Sarungi akiwa na ubavu wake.
View attachment 638751
Mzee Kingunge akiwa na wa ubani wake.
Wee ni muongo mke wa Kingunge ni muhaya wa kamachumu,Muleba Ila ana asiri ya India.Anaongea kihaya pure.Hana unasaba wowote na Uzungu.
 
Kweli mkuu.
Kuna demu nilikuwa naye siku zilizopita, yaani alikuwa akiliongelea sana.

Alikuwa akiongea product ya mzungu na mwafrica(watoto) wanakuwa wazuri mno.

Mungu amsaidie sana japo hatukufanikiwa lengo letu.
Kwahiyo hiyo product inakuongezea kipato?? Au ni watoto wa kawaida tu!
 
Dr winani from Tarime pia mkewe ni mzungu, bila kumsahau Dr Sanga lecturer st john pia mkewe ni mzungu, ila huku mtaan kwetu sie tunajiachia na waarabu na wahindi mazalia, karibu sana salawi upate wife materia rangi nyeupe ( waarabu na wahindi)
Kwahiyo mdr tu ndo wanaongoza kuoa wazungu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom