Handeni kuna fursa ya Glocery

MEGATRONE

JF-Expert Member
Feb 22, 2014
968
1,814
Habari wakuu!

Ukiona fursa ni vyema kushare na wenzako. Kuna kijiji nipo katika wilaya ya Handeni kuna fursa kibao sana! Moja wapo ya biashara ya grocery. Kama una mtaji wa kufungua grocery tuwasiliane kuna hela yako nyingi sana katika hicho kijiji. Waliopo huku wengi ni wazawa hivyo biashara kwao ni changamoto sana wanaanzisha wanaacha.

Kama itakufaa nyoo upige hela yako. Najua kuna watu watauliza kwanini mimi sifanyi nataka wengine wafanye! Jibu ni simple nafanya biashara ingine katika hichi hichi kijiji!
 
Diswa
 
Asante sana kwa kutushirikisha mashamba yakuweza kufugia huko yanapatikana? na heka moja sh ngapi? yawe hayajasafishwa mapori.
 
Habari wakuu!

Ukiona fursa ni vyema kushare na wenzako. Kuna kijiji nipo katika wilaya ya Handeni kuna fursa kibao sana! Moja wapo ya biashara ya grocery. Kama una mtaji wa kufungua grocery tuwasiliane kuna hela yako nyingi sana katika hicho kijiji. Waliopo huku wengi ni wazawa hivyo biashara kwao ni changamoto sana wanaanzisha wanaacha.

Kama itakufaa nyoo upige hela yako. Najua kuna watu watauliza kwanini mimi sifanyi nataka wengine wafanye! Jibu ni simple nafanya biashara ingine katika hichi hichi kijiji!
Handeni kwa wazigua na wanguu tatizo wachawi sanaaaaa

Kuna fursa ya kufungua duka la dawa muhimu nije ??
 
Habari wakuu!

Ukiona fursa ni vyema kushare na wenzako. Kuna kijiji nipo katika wilaya ya Handeni kuna fursa kibao sana! Moja wapo ya biashara ya grocery. Kama una mtaji wa kufungua grocery tuwasiliane kuna hela yako nyingi sana katika hicho kijiji. Waliopo huku wengi ni wazawa hivyo biashara kwao ni changamoto sana wanaanzisha wanaacha.

Kama itakufaa nyoo upige hela yako. Najua kuna watu watauliza kwanini mimi sifanyi nataka wengine wafanye! Jibu ni simple nafanya biashara ingine katika hichi hichi kijiji!

Yaani wewe kuwa mlevi unataka mtu aje kukufungulia sehemu ya kunywea? Fungua yako acha kuwaingiza watu mkenge.
 
Back
Top Bottom