Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 47,394
- 33,041
Wanakumbi.
🚨🇮🇱🇵🇸HAMAS: TUNAWASHIKILIA MAAFISA 30 WA ISRAELI "MAHALI SALAMA"
Madai yao yameibua wasiwasi kwamba baadhi ya mateka huenda walisafirishwa kutoka Gaza hadi Sinai nchini Misri ili kuzuia kuachiliwa kwao wakati wa mashambulizi ya ardhini ya Israel huko Rafah.
Hamas pia walisema hawana uhakika ni mateka wangapi waliosalia hai lakini walidai kuwa ni zaidi ya vile maafisa wa Israel walivyofikiria.
IDF wameshindwa kupigana na Hamas wamebakia kuwashambulia raia na kuuwa watoto na wanawake, kila wakijaribu kuingia uwanja wa vita kupambana na Hamas wanauliwa na kukamatwa, Netanyahu kili siku anasema wameimaliza Hamas hafahamu hata maafisa wake wamekamatwa na Hamas.
Chanzo: Israel Today
View: https://x.com/marionawfal/status/1783063464048513251?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
UP DATE
View: https://x.com/qudsnen/status/1783138449584783633?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw