Hali tete, Urusi kuanza kulazimisha wanafunzi wakapigane Ukraine

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,805
48,782
Baada ya wanajeshi na hata wafungwa wa Wagner kufyekwa kama nguruwe, Urusi iko katika hali mbovu sana, sasa kuanza kufuata wanafunzi na kuwalazimisha wajiunge kwenye usaili nao wakafie huko, hilo taifa hivi karibuni litaishiwa wanaume.

=====================

"Russia is preparing to draft college students to the front lines in its war in Ukraine," wrote Panella, who was citing a statement released by Ukraine’s Main Directorate of Intelligence on Telegram which read: "The Russian Federation is preparing for a mass mobilization of full-time students.”

Here's what Ukrainian intelligence leaked about Putin's plans​

Russian authorities may be planning a new wave of mobilization that will specifically target the country’s full-time students according to leaked documents shared by Ukraine’s Main Directorate of Intelligence and reported on by Insider's Chris Panella.

Building up Russia's capacity​

“Measures are being taken in Russia to ensure the next wave of mobilization,” the Telegram post added. “Currently, they are actively building up capabilities to ensure the mass mobilization of students from higher education institutions,” the statement added.

Baada ya wanajeshi na hata wafungwa wa Wagner kufyekwa kama nguruwe, Urusi iko katika hali mbovu sana, sasa kuanza kufuata wanafunzi na kuwalazimisha wajiunge kwenye usaili nao wakafie huko....hilo taifa hivi karibuni litaishiwa wanaume.
===============================

"Russia is preparing to draft college students to the front lines in its war in Ukraine," wrote Panella, who was citing a statement released by Ukraine’s Main Directorate of Intelligence on Telegram which read: "The Russian Federation is preparing for a mass mobilization of full-time students.”

Here's what Ukrainian intelligence leaked about Putin's plans​

Russian authorities may be planning a new wave of mobilization that will specifically target the country’s full-time students according to leaked documents shared by Ukraine’s Main Directorate of Intelligence and reported on by Insider's Chris Panella.

Building up Russia's capacity​

“Measures are being taken in Russia to ensure the next wave of mobilization,” the Telegram post added. “Currently, they are actively building up capabilities to ensure the mass mobilization of students from higher education institutions,” the statement added.
Hao hao Wagner ambao wanakaribia kuchukua bakhmut?
 
Waje.watangaze bongo hapa watangaze dau watu kibao hawana ajira mbona watawachoka wenyewe
 
Tumieni Akili Bana sasa kama hao kina Wagner hawana watu wamewezaje kuizunguka bakhmut?
bakhmut ni kijiji kidogo sana mkuu na ukisikia russia wamezunguka mji au kijiji cha Ukraine jua ni kwa muda tu, angalia walivyovamia waliizunguka Ukraine eneo lenye ukubwa wa nchi ya Newzaland, lakini leo unaskia wanapapatua huko bakhmut, magari ya kivita ya urusi yalikuwa yametanda Kyiv katikati ya mji leo yale mavifaru yote yamefanywa ni maonyesho kwa wageni wanaoenda kutembelea Kyiv, watoto wanapiga nayo picha na juzi baadhi yalisafirisha kwenda nchi nyengine huko ulaya kwaajili ya maonyesho kwenye nchi zao.

Putin hajui vita hana vision ya vita alifikiri silaha zake zilizokuwa kwa msururu zikiingia Ukraine labda atachukua siku 2 tatu kuweka mambo sawa na kumsimamisha kibaraka wake sasa tunaambiwa ana mpango wa kusajili wanafunzi wa shule wawe front line vitani.

Ukisikia Wagner usione kwamba ni jeshi la makomandoo labda wataalamu sana wa vita, Wagner ni group ambalo wengi wao ni wafungwa waliotoka magereza ya urusi na nchi mbali mbali lakini hata kutoka Africa pia, ni wapiganaji ambao wamekodiwa na kupewa mafunzo siku mbili tatu hivi, ambao ndani ya wiki moja wameuliwa zaidi ya 6000, na ukiona nchi superpower kama russia sasa inategemea wapiganaji wa aina hiyo mana hata jeshi lako linakuwa chini yao jua hakuna tena jambo nchi imekwisha
 
Dah!... Urusi sio salama tena kupeleka wanafunzi huko.
 
Baada ya wanajeshi na hata wafungwa wa Wagner kufyekwa kama nguruwe, Urusi iko katika hali mbovu sana, sasa kuanza kufuata wanafunzi na kuwalazimisha wajiunge kwenye usaili nao wakafie huko, hilo taifa hivi karibuni litaishiwa wanaume.

=====================

"Russia is preparing to draft college students to the front lines in its war in Ukraine," wrote Panella, who was citing a statement released by Ukraine’s Main Directorate of Intelligence on Telegram which read: "The Russian Federation is preparing for a mass mobilization of full-time students.”

Here's what Ukrainian intelligence leaked about Putin's plans​

Russian authorities may be planning a new wave of mobilization that will specifically target the country’s full-time students according to leaked documents shared by Ukraine’s Main Directorate of Intelligence and reported on by Insider's Chris Panella.

Building up Russia's capacity​

“Measures are being taken in Russia to ensure the next wave of mobilization,” the Telegram post added. “Currently, they are actively building up capabilities to ensure the mass mobilization of students from higher education institutions,” the statement added.

Mbona taarifa imetoka upande wa Ukraine? Au Ukraine ndo inaendesha mobilisation za Russia?
 
Baada ya miaka 5 tutaenda Urusi na kujipatia wanawake wa huko mafungu kwa mafungu, hakutakuwa na wanaume wakutosha tena
 
Back
Top Bottom