Wewe ni mjinga na hujuwi uchumi... Waliokupa like 39% pia wajinga....Kutokana na kutofanya vizuri kwa mikopo ya biashara kwa benki za biashara kwa watu kutokukopesheka, mabenki yaliamua kuwekeza benki kuu kwa rate ya 13%-17% hadi kufikia tarehe 20/02/2018.
Kuanzia tarehe 21/02/2018 uwekezaji wa tresury bill (hati fungani) na bonds (dhamana) umeshuka hadi kufika kati ya 4%-6% hili ni anguko la kiuchumi ikimaanisha BoT hawana pa kuwekeza wala benki za biashara hana wa kuwekeza.
Tutarajie anguko kubwa la mabenki, SACCOS, Microfinance, hata hivyo vikoba maana biashara ya kumpa asiye nacho inakufa na aliyenacho hamwamini mkopaji maana hajui kama zitarudishwa.
=====
UPDATE
Kiufupi serikali sasa inapesa kiasi kwamba badala ya bank kuweka fedha bank kuu sasa wataenda kuzikopesha kwa wananchi.
Kiufupi kwa mtu mjanja hapa ndipo pakutokea maana automatical bank zitashusha interes nakufanya watu wakope kwa urahis. Kiufupi mpaka muda huu wafanyakaz mikopo wanapata mpaka 18% na uwenda ikashuka kutoka rate ya 22-26.... Mungu atupe nini? Ujinga upo wa aina nyingi