Hakuna aliye salama hapa duniani

canfi

JF-Expert Member
Jun 26, 2022
1,260
1,326
Rais wa Iran ameteketea. Hata hivyo ni taifa gan lipo salama? Marekani walishambuliwa palepale Pentagon (makao makuu ya ulinzi) na WTC ambako maelfu waliuawa. Israel walishambuliwa palpable na zaidi ya watu elf 1 waliuwawa, wanajeshi wake nao wameuawa kadri vita yao na Hamas inaendelea. Palestinians wengi wameuawa. Mwezi jana, Russia walishambuliwa na magaidi na kupoteza maisha ya wengi.

Mataifa yote hayo yameendelea sana kwenye teknolojia ya ulinzi lkn hayajajihakikishia usalama.

Dunia haipo salama. Kilichobaki ni ushabiki wa dini tu
 
Kuuana hakujaanza leo
Hata kaini alimuua ndugu yake!
Dunia ni uwanja wa fujo!
Na kila mtu anafujo zake na anambabe wake!
Wengine vita, wizi, uzinzi, uongo, utapeli, taama, usaliti, kafara, watengeneza magonjwa N.k

Hakuna aliye mwema hapa duniani bila kujali anaomba dua sana au hana dini.

mbaya zaidi watu hatari na wabaya zaidi wamejificha kwenye mgongo wa dini au kutoa misaada sana.

Nisiandike sana!
Wewe mwenyewe kuna mambo unayafanya au aliwahi kuyafanya ukitulia na kuyafikria unabaki unajishangaa.

Dunia ni sehemu ya dhiki na mateso na yote hayo yanaletwa na mwanadamu mwenyewe
 
Kuuana hakujaanza leo
Hata kaini alimuua ndugu yake!
Dunia ni uwanja wa fujo!
Na kila mtu anafujo zake na anambabe wake!
Wengine vita, wizi, uzinzi, uongo, utapeli, taama, usaliti, kafara, watengeneza magonjwa N.k

Hakuna aliye mwema hapa duniani bila kujali anaomba dua sana au hana dini.

mbaya zaidi watu hatari na wabaya zaidi wamejificha kwenye mgongo wa dini au kutoa misaada sana.

Nisiandike sana!
Wewe mwenyewe kuna mambo unayafanya au aliwahi kuyafanya ukitulia na kuyafikria unabaki unajishangaa.

Dunia ni sehemu ya dhiki na mateso na yote hayo yanaletwa na mwanadamu mwenyewe
Nasikia sauti ndani yangu mara Kwa mara ikiniambia Kuwa tuliwahi kuishi! na Sasa Tuko jehanamu.Inawezekana Dunia ni Jehanamu tukifa tunakuwa tumemaliza vifungo na mateso tunenda kumpumzika.Hii Dunia Tajiri na Masikini Kila mmoja anapitia majuto yake, Duniani tumetupwa ni sehemu isiyo salama ni eneo la utawala wa kuzimu ni sehemu ya mateso,magonjwa, njaa,vita n.k Kila Mwanadamu awe na pesa ama laa atapitia kwenye magonjwa wengine vita na wengine njaa.Kwa ufupi hii Dunia ni sehemu ya mateso ya Mwanadamu. Ni mawazo yangu.
 
Nasikia sauti ndani yangu mara Kwa mara ikiniambia Kuwa tuliwahi kuishi! na Sasa Tuko jehanamu.Inawezekana Dunia ni Jehanamu tukifa tunakuwa tumemaliza vifungo na mateso tunenda kumpumzika.Hii Dunia Tajiri na Masikini Kila mmoja anapitia majuto yake, Duniani tumetupwa ni sehemu isiyo salama ni eneo la utawala wa kuzimu ni sehemu ya mateso,magonjwa, njaa,vita n.k Kila Mwanadamu awe na pesa ama laa atapitia kwenye magonjwa wengine vita na wengine njaa.Kwako ufupi hii Dunia ni sehemu ya mateso ya Mwanadamu. Ni mawazo yangu.
Ndo hivyoo
Kifo cha Mzee Ayatula huenda kitaleta Amani kwenye Bahari ya Sham na mlango wa Baab al Mandeb.
Hayo ndio tuliyobaki nayo
 
Dunia ilipokuwa inailaumu Iran kufadhili makundi ya kigaidi(Houthi,Esbollal na Hamas)kuna nchi zilipinga sana, Ibrahim Raisii na Serikali yake ndiye aliyekuwa akishutumiwa kupanga mashambulizi mbalimbali ikiiwa ni pamoja na kuidhinisha wafungwa kunyongwa.
U.S.A na western wanafadhili vikundi vingi vya kigaidi duniani wakiwemo waisrael kwanini haowatu pia hawaoni
 
Kuna wajinga wanasema Iran ipo nyuma kwa kuangushiwa hio Helicopter ni njama za Rais wa Azerbaijan kibaraka wa America na Israel.

Je Israel ipo vipi mbele wakati 7th Otober mpa kuta zao zilibomolewa zina sensors na Camera za kila aina walikuwa wapi 😄

Wakristo misalaba inawapunguzia akili hamjui kuwa Israel ni taifa limepandikizwa na Uingereza na USA kwa faida zao wala si taifa la Mungu kama mnavyo danganywa na wao 😄
 
Afu nawapeni siri wafuasi wa Israel, US kanza bembeleza nchi za kiarabu wasimamishe vita kwa ajili ya msada.

Yote ni propoganda zao, inasemekana jeshi la Israel wanatafuta njia za kukimbia Gaza kila sehemu wamezungukwa na Hamasi na wanapokea kichapo wasicho kitegem3a kutoka Hamasi.

Jeshi la Bampers wameomba US iwatoe kwenye balaa lilo wakuta, kwa kujidai wasimamishe vita ili msada uingie Gaza 😄
 
Back
Top Bottom