Sehemu sipo ni ipi? Mbona tunakua makatili hivi? Utakuwa tasa bwege wewe!Kama wamejenga sehemu sip wacha zibomolewe
Hawajaporwa ila wamevamia eneo la Serikali.Eneo ni Sanya chini, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro baada ya serikali kuagiza nyumba hizo kubomolewa.
Malisa
Kimara ipi?Hawajaporwa ila wamevamia eneo la Serikali.
Wale wa Kimara walilia sio tuu Kwa Uchungu Bali walisaga meno ila bahati Yao Samia kawalipa kifuta machozi.
kuna yule mrundi alitufanya vibaya mno pale kimara.Poleni sana.yote haya yamesababishwa na kutawaliwa na mgeni kutoka Nchi ya mbali ya Zanzibar Kuja kutawala Tanganyika.
Halafu Kuna dumejike chawa mbwa mtoto si rizki anasema tulipewa kifuta machozi.kuna yule mrundi alitufanya vibaya mno pale kimara.
labda aliitwa chumbani akapewa, si kuna zisizo rasmi kuwa maza anawatembezea badala ya kutembezewa, labda yy alipewa baada ya kutembezewa.Halafu Kuna dumejike chawa mbwa mtoto si rizki anasema tulipewa kifuta machozi.
Punguani mkubwa , ujenzi wa njia 8 awamu ya Mwendazake nini kiliyokea happ.Kimara kwenye nyumba za watu?Kimara ipi?
Umerogwa au umetumwa?
Usije ukafanya nikakutukana bure. Fanya Kama Kitila alivyoambiwa kule Zanzibar.
Mimi Ni mhanga actually mpaka Sasa waliovunjiwa wote bado tunafanya vikao pale forest kwa msuguri, wewe unahudhuria? Jamani uchawa nao uwe na mipaka na akili kidogo itumike, sio kupaza sauti tu.Punguani mkubwa , ujenzi wa njia 8 awamu ya Mwendazake nini kiliyokea happ.Kimara kwenye nyumba za watu?
Kwani ukitukana ndio utafuta huo ukweli? 😁😁😁
Waziri Dr Gwajima Tafadhali, tunaujua uwezo wako. Please, interven to save lifeEneo ni Sanya chini, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro baada ya serikali kuagiza nyumba hizo kubomolewa.
Malisa