Tetesi: Gara B - Mc Ufunguzi World Cup Qatar 2022

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Mar 31, 2016
6,223
7,418
Katika Muendelezo wa Mafanikio ya Mkoa wa Kagera mara baada ya shule za Kemebos kuwa wa kwanza kitaifa na kimataifa sasa ni zamu ya Mc wa Kimataifa Mc Gara B kung'aa kimataifa baada ya kupata tenda ya kuongoza ufunguzi wa World cup huko Doha, Qatar
 
Attachments

  • qatar.jpg
    qatar.jpg
    61.5 KB · Views: 48
wahaya wengi ni hovyo sana. Mnapenda sifa mpaka mnaboa japo hamjengi kwenu mmebaki na misifa tu
DSM imejengwa na wazaramo? Dunia ya sasa popote pale, unapoishi ukajenga na kuanzisha familia ndio nyumbani kwako! Mambo ya ukabila yamepitwa na wakati,bukoba sio ya wahaya ni ya watanzania sio lazima ijengwe na muhaya! Itajengwa hata na mmakuwa au mmatumbi akipapenda uko.
 
Kongole! Hii ni komenti yenye akili zaidi tangu mimi kuijua JF. You are very intelligent bro! Wamatumbi ni watu gani/wa wapi?
 
Katika Muendelezo wa Mafanikio ya Mkoa wa Kagera mara baada ya shule za Kemebos kuwa wa kwanza kitaifa na kimataifa sasa ni zamu ya Mc wa Kimataifa Mc Gara B kung'aa kimataifa baada ya kupata tenda ya kuongoza ufunguzi wa World cup huko Doha, Qatar
Ni kweli? Au unajilamaba tu hapa
 
DSM imejengwa na wazaramo? Dunia ya sasa popote pale, unapoishi ukajenga na kuanzisha familia ndio nyumbani kwako! Mambo ya ukabila yamepitwa na wakati,bukoba sio ya wahaya ni ya watanzania sio lazima ijengwe na muhaya! Itajengwa hata na mmakuwa au mmatumbi akipapenda uko.
Mambo ya makabila yamepitwa na wakati???
Mleta uzi anasifia kitu gani kama sio Uhaya=ukabila?

Ungeanza kumpa taarifa hii kuwa aache ufaloer ukabila umepitwa na wakati.
Wahaya ni washsmba msiojijua...mnaendekeza ukabila, hamjivunii utsnzania bila ukabila
 
wahaya wengi wamesoma na pesa wanayo
 
Back
Top Bottom