FT: Ihefu SC 0-1 Young Africans SC | CRDB Federation Cup | Sheikh Amri Abeid , Arusha | 19.05.2024

Pale credit kwa beki, wakati ambao Musonda anajiandaa kupiga ndio beki akalala uvunguni ku ckear mpira. Safi ya ulinzi ya Ihefu wameonesha nidhamu ya hali ya juu hadi sasa
Beki za Ihefu zimetulia sana
 
Back
Top Bottom