FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

Simba ndio ma giant wa Africa mashariki na kati... Msihofu yanga tupo tunawakilisha, tukifungwa mtakua mmefungwa nyie na tukishinda ni sisi km simba
 
Mimi leo hata tukitolewa sina stelesi kabisaaa...dunia imeshaona Simba ni nani....na imethubutu...kutoka droo na hii alhyl ya moto yenye wachezaji wa moto wanalipwa mishahara ya moto si mchezo...
Viva Simbaa
Simba nguvu Moyaaaaa
Naiscreenshit hii reply

Siyo tumfunge Al Ahyl nje ndani muanze kugeuza kauli
 
Nenda Simba Nenda , Sisi Zetu Dua .
Daima Sisi tuko nyuma yako .

Ikiwa utashinda basi tutafurahi sana , ikiwa bahati haitakuwa upande wetu basi hatutaumia sana ila tutafurahi historia imeandikwa .

Nenda Simba Nenda Zetu Sisi Dua .
 
Back
Top Bottom