FRENCH OPEN: Mens final 2023 Djokovic.vs.Ruud

Victoire

JF-Expert Member
Jul 4, 2008
24,217
56,812
Jamani,mimi ni shabiki wa Nadal.Binafsi ningependa leo Djokovic ashindwe,ila ndo hivyo anakwenda kushinda.
Na kuanzia leo ninamkubali Djokovic kweli yupo strong kimental.
From team Nadal
Wewe mwenzangu unaengalia hii final unasemaje?
 
Back
Top Bottom