Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,770
- 10,660
Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe amewasili jijini Mwanza leo.
Tayari mitandao yote ya kijamii,radio,televisheni na vyombo mbalimbali hapa nchini habari kuu ni Katibu mkuu mpya wa Chadema anayetarajiwa kujulikana Jumamosi wiki hii.
Mnaposema mitandao yote na vyombo mbalimbali vya habari HABARI KUU ni katibu wa CHADEMA, mnamaanisha nini hasa? Magazeti YOTE leo hii hayakuipa uzito habari hii, halafu umaeneza uongo