FLASH YANGU INAANDIKA usb corrupted tap to fix ! Inaweza kupona? Na data zisipotee?

mbarakasaidi

Member
Feb 19, 2017
85
20
Flash inawaka ila nikiichomeka kwenye PC inalazimisha niifomat.

Ila notification inasema tap to fix na signal ya flash inawaka ,hii wadau inaweza kupona na DATA zikaendelea kubaki?
 
Back
Top Bottom