Wadau kunamtu aliajiliwa na kupewa fixed one year contract.
Mkataba WA kwanza ulipoisha akaopewa mwingine wa mwaka mmoja ukiwa na amajukumu ya ziada.Baada ya kupewa mkataba wa pili ,baada ya miezi mitano mwajili anesitisha mataba wake akisema amebanisha new streams of activities hivyo kwa kuwa kwenye mjataba Kuna kipengere Cha one month notice basi anampa one month notice basi na kumusafirisha kwenda alikomtoa
Je hii ni sawa?
Nini haki za mfanyakazi huyu kwa mazingira haya?
Ukipewa termination yoyote ile lazima iwe na sababu iyo sababu iwe halali na ifate utaratibu hapo naamini tupo pamoja sasa ipo hivi
Unfair termination without reasons.
Compensation for unfair termination.
Muajiri wako hana sababu na anapaswa kukulipa fidia ya miezi 12 kwa kufanya hivyo case yako inafanana na hii hapa nakuwekea PDF utajisomea muajiri na yeye alifanya hivyo hivyo alivyoona kipengele cha kutoa notes akaamua kufanya akasahau kwamba kila sababu ya termination ina utaratibu wake
ukisoma hiyo case utagundua mwajiri alifanya kosa kama ambalo wewe umefanyiwa na muajiri wako hivyo mahakama ikamuamuru alipe muda ulibakia wa mkataba ukisoma iyo case wameweka mpaka kipengele cha muajiri anaweza kutoa notice ya mwezi mmoja kama ambayo ulipewa wewe
ombi langu kwako ukiwa unafuatilia hii kesi kuwa mtulivu na usiwe na njaa za haraka