Familia ya Babu Seya ni "wahamiaji haramu"

hata residence permit inamwezesha mtu kuishi nchi nyingine bila kuwa raia. je hukumu ya kifungo cha maisha haiwezi tafsiriwa kwamba imempa mfungwa residence permit na sio uraia?
 
Kuwa kipenzi cha ccm ni zaidi ya uraia na uhalifu wowote Tz.
 
Kwangu mimi ni wahalifu na wahamiaji haramu, nashanzaa wanaingia ikulu kama balozi wa Denmark, mbaya zaidi jamaa wanaimba nyimbo za kingono/mapenzi ikulu na tunarushiwa kwenye runinga, mtatuua kwa presha,
 
Kuna tofauti ya kutenguliwa kisheria kupitia rufaa ama review . Hapa kwenye " PREROGATIVE OF MERCY " ni kitu tofauti kabasa. Ingelikuwa walikata rufaa na kufanikiwa na hukumu ya awali iliyowapa uraia wa maisha Tanzania ikatenguliwa ningekujibu sawa sawa na mawazo yako katika kuuliza swali hili lakini kwa masamaha waliopwa na highest authority katika nchi akiwa anatekeleza PREROGATIVE POWER zake bado hakibatilishi kilichopitishwa na mahakama kuhusu kuishi nchini maisha yao yote
Wewe jamaa nakuelewa sana kama hautupigi fix sisi mbumbumbu wa sheria.
Unaelezea kitu kwa utulivu sana na kwa kujiamini.
 
Hoja yangu ipo hapa Mfungwa yeyote ambae sio raia wa Tanzania akitoka ama kuachiwa gerezani anakabidhiwa kwa Ubalozi wa nchi yake au anatakaiwa kuondoka nchini mwenyewe kama uwezo anao.

Kwa kina Babu Seya hili halikufanyika kwani wao ni Wacongoman sio watanzania na hakuna kumbukumbu za wao kupewa uraia. Bali waliachiwa kwa mbwembwe ili Mkulu avune sifa laini anazozipenda.

Sijui kama paspoti zao za Congo zipo hai hali inayojenga mazingira ya kuishi nchini kinyume na sharia.

Najua Mhe. DKT.Mwigulu yupo humu na ni mtu makini hebu atusaidie kwa nini sheria inavunjwa na wizara yake au ndio maagizo kutoka juu.

Tunaomba atusaidie sisi WAZALENDO wa nchi hii kujua Familia ya Babu Seya ina hadhi gani kiuhamiaji hadi sasa.

ANGALIZO: DRC ni mwanachama wa SADC nchi ambazo zimefutiana visa lakini hakuna hata nchi moja ya SADC waliokubali kuwafutia visa raia wa DRC unajua kwa nini?
Acha ujinga wewe huyu Nguza Viking yuko hapa nchini hata kabla baba yako hajazaliwa na kisheria huyu ni mkaazi halali bila shaka yoyote awe na passport ya Congo au wapi. Kwa muda tu aliokaa ni raia halali wa Tanzania. Acheni majungu na ushabiki wa kisiasa hapa. Period.
 
wewe kichwa maji kweli inaonekana hata shule kama ulikwenda basi kusindikiza watu yaani uwe na paspoti ya drc afu uwe raia wa Tanzania kwa ajili tu amekuja muda mrefu.. Remmy Ongala aliiupata uraia wa Tanzania akiwa amebakiza miaka miwili ya kuishi.. Uraia unaombwa na ni mchakato. Tena ukome kuja na majibu yako ya vijiweni hapa
 
Mkuu,ujue kusom alama za nyakati,,,unadhani wewe una uwezo wa kumshauri rais au mwigulu against babu seya ? Vingine ni kunyamaza tu
 
Hoja yangu ipo hapa Mfungwa yeyote ambae sio raia wa Tanzania akitoka ama kuachiwa gerezani anakabidhiwa kwa Ubalozi wa nchi yake au anatakaiwa kuondoka nchini mwenyewe kama uwezo anao.

Kwa kina Babu Seya hili halikufanyika kwani wao ni Wacongoman sio watanzania na hakuna kumbukumbu za wao kupewa uraia. Bali waliachiwa kwa mbwembwe ili Mkulu avune sifa laini anazozipenda.

Sijui kama paspoti zao za Congo zipo hai hali inayojenga mazingira ya kuishi nchini kinyume na sharia.

Najua Mhe. DKT.Mwigulu yupo humu na ni mtu makini hebu atusaidie kwa nini sheria inavunjwa na wizara yake au ndio maagizo kutoka juu.

Tunaomba atusaidie sisi WAZALENDO wa nchi hii kujua Familia ya Babu Seya ina hadhi gani kiuhamiaji hadi sasa.

ANGALIZO: DRC ni mwanachama wa SADC nchi ambazo zimefutiana visa lakini hakuna hata nchi moja ya SADC waliokubali kuwafutia visa raia wa DRC unajua kwa nini?
Wivu na chuki vinakusumbua
 
Back
Top Bottom