Fahamu mita za LUKU zinazofungwa majumbani

Habari ndugu mteja, asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto hio, tafadhali tupatie namba ya taarifa kwa hatua zaidi ^EB
Ni njia gani ya kufahamu mita niliyofungiwa imewahi kutumika kabla huku mimi mteja nikiamini ni mpya
 
Tanesco inakuwaje umeme uko makao makuu ya Wilaya, ukitoka nje ya makao makuu ya Wilaya haizidi hata km 3 ni giza yaani hamna huduma ya umeme. Hii aibu ni ya Wilaya, Jamii husika au Tanesco wenyewe?
 
Tanesco inakuwaje umeme uko makao makuu ya Wilaya, ukitoka nje ya makao makuu ya Wilaya haizidi hata km 3 ni giza yaani hamna huduma ya umeme. Hii aibu ni ya Wilaya, Jamii husika au Tanesco wenyewe?
Habari ya wakati huu ndugu mteja na asante kwa kuwasiliana nasi, tafadhali tufahamishe ni wilaya gani inapitia changamoto hio ^EB
 
Habari ya wakati huu ndugu mteja na asante kwa kuwasiliana nasi, tafadhali tufahamishe ni wilaya gani inapitia changamoto hio ^EB
Fikeni Wilaya ya Missenyi mkoa Kagera, mkifika yalipo makao makuu ya Wilaya hiyo BUNAZI, Fanyeni utafiti wa vitongoji vilivyo zunguka eneo hilo kama KIJUKA, KASHOZI, KAGARAMA, na maeneo mengi ya karibu karibu mtaona maajabu. Yaani hamtaingia zaidi ya KM 3 kwa pande zote watu hawajapata huduma ya Umeme, REA Iliruka maeneo ya karibu ikaenda maeneo ya mbali lakini wakaazi wa maeneo ya karibu na yalipo makao makuu ya Wilaya hiyo hamna huduma ya UMEME. Si kwamba jamii hizo hazina uhitaji bali TANESCO iliwanyima huduma ya umeme.
 
Back
Top Bottom