Facebook ina mpango gani na accounts zetu tulizosahau password tangu 2010's?

Nna akaunti yangu ya muda nilisahau pasword na namba niliyosajilia siikumbuki tena, natamani niifungie ile akaunt au niweze kuirejesha ila nimeshindwa.
 
Nilikuwa na akaunti mbili Ambazo nilisha sahau namba na password zake! Kama sijasahau niliziripoti facebook na zikafutwa.
Kuna maelezo mengi yalikuja ila nilianzia pale Kwenye kuripoti akaunti, na zote zikafutwa.
 
Mbona nasikia hawafutagi profiles?
 
Nilikuwa na akaunti mbili Ambazo nilisha sahau namba na password zake! Kama sijasahau niliziripoti facebook na zikafutwa.
Kuna maelezo mengi yalikuja ila nilianzia pale Kwenye kuripoti akaunti, na zote zikafutwa.
Thanks kaka. Natajaribu hii
 
Nilikuwa na akaunti mbili Ambazo nilisha sahau namba na password zake! Kama sijasahau niliziripoti facebook na zikafutwa.
Kuna maelezo mengi yalikuja ila nilianzia pale Kwenye kuripoti akaunti, na zote zikafutwa.
nmeshareport kwa akaunti nyingine lakini hadi leo haijafutwa.
 
Na
Nashukuru yakwangu sikua nimeweka picha, nilituma poat moja tu ya maneno ya kawaida.

Hii issue inawatesa wengi hasa ukute mtu alikua anapoat sana picha au anaandika ujinga ujinga wa ujana na utoto.
Ndio kinachowaponza watu ..
Mtu anapost ujingaujinga wake wa ujana mtandaoni , wengine wamepata madhara sana kutokana na hizo miujinga
 
Back
Top Bottom