C.K
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 394
- 162
Kuna mtu mmoja humu aliwahi kutuhadaisha kuwa UKAWA utakumbwa na tafrani nzito na ya aina yake katika wiki ya kwanza ya sept. 2015 na huo ndio utakuwa mwisho wa UKAWA na harakati zake... Swali, yuko wapi huyo mtabiri feki ajibu nini kimetokea?!! Mbona UKAWA bado mwendo mdundo na ndiyo inazidi kutikisa? Au bomu walilotega limewalipukia wenyewe nini, hahahaaaaaaaaaaaaa..... usicheze na nguvu ya umma aiseeeee