komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,646
Duh!!jamaa kiukwel hizi habari zimenishtua sana..yani sijui serikali zetu zikoje, manake huku WHO wanasema kuna mgonjwa wa ebola aliingia tanzania wakati waziri wa tanzania juzi tu kapinga kuhusu hzo taarifa..
Sasa sijui wakumuamini nani..manake sasa ni balaa km itakua ni kweli..sijui hao maafisa wa uhamiaji mipakani wanafanya kazi gani haswa...ishu km hz si za kuzichukulia poa, km mtu kafika mpka dar.Nairobi, Mobasa,kampala,kigali patakua salama kweli...manake nijuavyo mm east africa kuna mizunguko ya watu wengi sana...
Kwhyo itabidi hili swala tulitilie maanani..manake ni kuhusu maisha ya walio wengi...