Dunia itasemaje huyu jamaa akishika madaraka nchini Haiti

Serikali ya Haiti imesambaratika baada ya aliyekuwa kiongozi wake kujiuzulu kwa shinikizo la makundi ya mitaani yakiongozwa na Vitel'homme Innocent

Kiongozi huyo wa makundi ya kihalifu anashutumiwa kufanya matendo ya kigaidi maeneo mengine ya Carribean mbali na Haiti.wahaliu waliovaa suti.

Sio ajabu Kwa sababu Dunia inaongozwa na wahalifu waliovaa suti chini ya mwavuli wa vyama vya siasa.

Vita na mauaji makubwaa duniani yanasababishwa na watawala wanaoonekana kuwa ni watu wema machoni mwa watu na kupigiwa makofi.
 
Pamoja na hivyo hatujawahi kuwa raisi wa aina hii.
Utasemaje siku akikaribishwa UN kutoa hotuba kwa niaba ya nchi yake.Atatetea nini kwa ajili ya manufaa ya nchi na walimwengu kwa jumla.
 
Huu ni uongo sasa, Education gani na ya nini kwenye nchi yenye vita na kuongozwa na magenge ya kihalifu? Unasomaje, mwalimu ana roho gani, na hao wanafunzi wanatoka wapi?
Mkuu picha ni ya zamani ila ili watoto wasome, hizo ndio biashara zao
Wana umasikini sana ila pia wanaamini sana ushirikina
Ukiona soko lao la mboga na matunda
Vendors wengi wanauza matunguli na sanamu kwa ajili ya juju
Ila kwa sasa ndio kabisa nchi haikaliki
Jirani zetu kwa tamaa ya hela walitaka kupeleka wanajeshi ila walipoona mapanga na bunduki zimeshikwa na machokoraa wakasitisha tamaa zao
 
Nimejifunza kitu hapo.Maisha mazuri yatapatikana vipi bila kufanya kazi za uzalishaji.
Kila mtuj akiuza tunguli na nyanya mafungu mafungu uchumi hauwezi kukua na ndipo mnapigana mapanga kila leo.
 
Nimejifunza kitu hapo.Maisha mazuri yatapatikana vipi bila kufanya kazi za uzalishaji.
Kila mtuj akiuza tunguli na nyanya mafungu mafungu uchumi hauwezi kukua na ndipo mnapigana mapanga kila leo.
Kweli kabisa na sisi mwanasiasa anasimama hana la kusema wala ubunifu bali anaishia kusifia kofia za ccm eti kofia oyeee
Halafu unayasikia mengine
Oyeeee
Uzalishaji na viwanda vitatoka wapi kwa akili hiyo
Vijana wamejaa sokoni wanaomba kwa mwenye duka awape nguo wauze nje ya duka halafu vijana wadogo ambao hata miaka 20 ijayo utawakuta hapo hapo

Na wanasiasa wanafurahia tu kuzidi kuiba
 
Ukitafakari Haiti , ukitafakari Afrika, na Waafrika ... Unabaki kuduwaa na kiwakodolra. Macho Wazungu!
 
Ulitaka umuone jamaa ndani ya suti km mzungu ndio umuone anafaa kuwa kiongozi?
Hili ni tatizo kubwa kwetu sisi weusi kujadili mtu kutokana na mavazi au muonekano.
Hawa wakwetu huku wanaovaa suti wananini cha ziada zaidi ya rushwa na kuuza uhuru wetu kwa wenye pesa?
Aiseeee
 
Pamoja na hivyo hatujawahi kuwa raisi wa aina hii.
Utasemaje siku akikaribishwa UN kutoa hotuba kwa niaba ya nchi yake.Atatetea nini kwa ajili ya manufaa ya nchi na walimwengu kwa jumla.
Hawa wakwenu huku wanatetea nini kwa manufaa ya nchi?
Au ndio hivyo kuuza bandari kwa waarabu na migodi kwa wachina na wazungu?
Au km hv ambavyo wazawa wanafanyishwa kazi viwandani kwa wahindi saa 1 hadi 12 kwa malipo ya alfu 4 kutwa?
Hayo ndio maslahi ya nchi?
 
Sasa unaunga mkono wachukue mapanga kama Haiti.
Hujapendekeza nini cha kufanyika.
 
Pamoja na hivyo hatujawahi kuwa raisi wa aina hii.
Utasemaje siku akikaribishwa UN kutoa hotuba kwa niaba ya nchi yake.Atatetea nini kwa ajili ya manufaa ya nchi na walimwengu kwa jumla.

Baba wa Taifa la Tanzania aliwahi kukosea na kumdharau Marehemu Bob Marley wakati wa sherehe za Uhuru wa Zimbabwe kwa sababu tu ya mwonekano wake wa nje lakini alipopewa nafasi ya kuomba wimbo wake alitoa ujumbe mzito sana kwa waafrika kutobaguana na kupigania uhuru wao.
Baba wa Taifa aliinuka na kwenda kumshika mkono.

Unaweza ukamuona mtu katika mwonekano tofauti na uliouzoea ukamdharau bila kujua uwezo wake na ushawishi kwenye jamii.
 
Sasa unaunga mkono wachukue mapanga kama Haiti.
Hujapendekeza nini cha kufanyika.
Nchi haiwezi kuwa na mabadiliko Kwa kutegemea Kila mtu aseme.
Lazima pawe na mtu Mmoja Mwenye maono ya kizalendo na asiyewaogopa majangili. Mzalendo wa kweli atapatikana ndani ya CCM au nje ya CCM (Awe ni komandoo au ni mwanasiasa au mwanaharakati ) . Bila kuwa mtu Mmoja Mwenye maono hakuna maendeleo kama Taifa zaidi ya watu wachache kutawala na kugawana Mali za nchi Kila sehemu na kuwaachia vizazi vijavyo vurugu na uhasama na hata mapigano ya kugombea ardhi na ajira.

Amani ya Tanzania msingi wake ni Kwa sababu ya Mwalimu Nyerere kulinda ardhi na rasilimali za umma kuwa ni Kwa ajili ya watanzania wote chini ya udhamini wa Rais.
Mtu akiwa na shamba lake atakua na uhakika wa kulima na kupata chakula Kwa Hiyo sio rahisi kumshawishi mtu huyo kuanzia kupigana Kwa ajili ya siasa wakati mvua inanyesha anataka kwenda shambani kulima .

Sasa hawa wanaouza Ardhi yote Kwa wageni wanatuachia nchi itakayokua na watu wasio na makazi na ardhi . Watanganyika Mil. Mia Moja wakati Huo watageuka kuwa kama wakongo . Wachache kutawala atakua wanaishi kama wafalme wakipewa ulinzi na silaha na mabeberu wageni lakini wengi watakua hawana mahali hata pa kufuga kuku wa kienyeji.
Ni lazima tupaze sauti tuwakatae Hawa watawala wa aina hii wasipate kamwe nafasi ya kumaliza rasilimali zetu Kwa kushangiliwa na wazungu na kwa kugawa rushwa ya makaratasi waliyochapisha viwandani mwao.
 
Sasa unaunga mkono wachukue mapanga kama Haiti.
Hujapendekeza nini cha kufanyika.
Kuchukua mapanga inawezekana ikawa pia ni njia ya kuelekea kwenye mabadiliko yenye tija.
Demokrasia imeshindwa kuleta maendeleo kwa nchi za watu weusi.
Zaidi sana demokrasia imeondoa undugu kati ya watawala na watawaliwa
 
Baba wa Taifa la Tanzania aliwahi kukosea na kumdharau Marehemu Bob Marley wakati wa sherehe za Uhuru wa Zimbabwe kwa sababu tu ya mwonekano wake wa nje lakini alipopewa nafasi ya kuomba wimbo wake alitoa ujumbe mzito sana kwa waafrika kutobaguana na kupigania uhuru wao.
Baba wa Taifa aliinuka na kwenda kumshika mkono.

Unaweza ukamuona mtu katika mwonekano tofauti na uliouzoea ukamdharau bila kujua uwezo wake na ushawishi kwenye jamii.
Una video yake?
 
Miaka ya 1980 wewe ulikua bado hukazaliwa labda mama yako ndio alikua amezaliwa .
Miaka Hiyo video inawekwe ikulubna makumbusho kama Nyaraka za serikali. Na mitando haikuwepo Kwa wingi. Hata serikali Tanzania haikua na Television labda Zanzibar
Una video yake
 
Sawa.Endelea na matusi yako tu.
 
Back
Top Bottom