marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 978
- 1,718
- Thread starter
- #61
Siku kuku akijua kua analishwa ili anenepe aliwe, hakika atakimbia, same to this concept iko programmed kua denied ili isoje leta shida,Comments za wengi zinaprove ukweli uliouandika!!
Watu hawa reason wanabaki kupinga bila reasons!!
Mimi ninaamini GMO (Genetic modified seeds)zimemodify Kila kitu kutuhusu pale tulipokubali mbegu za maabara kama chakula kikuu tunachokula na kulima kila siku!!
Kifupi nakumbuka utoto wetu was miaka ya 90. Na utoto wa Leo was miaka 2000 naona Kuna vitu wanammis Hawa vijana!!
Sisi tulio kwenye industry ya elim na vijana tunaowalea tunaona tuna deal na modified robots!!
Sina tabia ya ku beza maandishi ya kiutafiti na nadharia coz Neva za seli za Bongo zetu Zina operate katika mawimbi tofauti Sana,inategemea wewe ubongo wako Una operate katika frequency zipi!!
Big up mleta mada Uzi was kufikirisha!!
Kitu ambacho watu hawajui ni kwama unapo hisi, unapoona unapo sikia zote ni function za ubongo ambazo zina kua kwenye mfumo wa electric charges, tech ina weza kusilate hisia yoyote kwenye ubongo wa bina damu na binadamu huyo hawezi kamwe kujua tofauti ya simulation na reality,, kamweee hatowezaaa,,,
Watu kubisha kwa nguvu zao zote ni moja ya code lines za simulation so mimi siwashangai