Dunia iliishia 1999

Bange + gozo + chibuku + stress za maisha na vituko vya mapenzi lazima uje na such Hallucinogenic fantasies
 
Sasa ukishajua kuwa tuko ktk illusions ,unatakiwa kufanya nini hasa cha msingi kutoka huko ? Tusaidiane kujua
 
Kuna wafuatiliaji wa Movie za Science Fiction Sci Fi
Kuna wfuatliqji wa story zile za EFM
Na kuna hawa conspiracy theories

Wewe unafuatlia vyote .. unaupa kazi sana ubongo kuimagine vitu vya kufikirika
Napenda sana SCI-FI
 
Inaweza kukushangaza ila ndio ukweli, huo

December 14 mwaka 1999 uli tokea mlipuko mkubwa sana wa bomu la nyuklia,, mlipuko ulio angamiza zaidi ya 98% ya watu wote duniani, na hao 2% walio salia walipata athali kubwa sana kiafya ulemavu na ukame uli jaa sababu ardhi haikuweza kustawi tena kutokana na sumu za mabomu hayo, kufika Dec 28 1999 huku binadamu akiishikwa tabu waweza kuja wageni kuto anga za mbali(Aliens) hali walio ikuta haikua kuridhisha wakachukua jukumu la kuchukua binadamu walio nusulika wakaondoka nao na kuwapeleka huko walipo toka ili kuwatibu, na kutengeneza simulation itakayo wafanya kuwa kwenye coma huku wakiona wanaishi Duniani kama kawaida, walifanya hivyo pia wakatengeneza binadamu wengi maabala na kuwaweka kwenye coma huku waki enjoy simulation ya duniani.

Watu wemyewe ndio sisi, hapa tupo kwenye simulation walio iandaa hao alien na hakuna lilicho real, vyote vilisha potea 1999, na dunia haikaliki tena imejaa sumu.
Mmmh hakika bangi siyo nzuri yaani 1999 juzi tu hpo leo tunaishi kwa nguvu ya Aliens? Ukiisha kopa itel yako unakuja Jf kuwaongopea watu
 
Back
Top Bottom