Dudley Mbowe anatosha kurithi Uenyekiti CHADEMA?

Mtoto wa Freeman Mbowe ambaye anatajwa tajwa sana kurithi mikoba ya baba yake kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA.

Lakini mimi binafsi naona hatoshi sababu amekimbia na mishahara ya wafanyakazi wa kampuni ya baba yake mpaka sasa baadhi ya mali zao zinatakiwa kupigwa mnada.

Haiwezekani mtetezi wa wanyonge ukafanya dhulma ya jasho la watu.

Lakini pia kwenye maandamano na mikutano haonekani.

Sitaki kuona mambo anayafanya Museveni yanafanyika hapa nchini na Chadema.

Wewe unaonaje anatosha hatoshi kirithishwa chama na baba yake?
Alisema anautaka uebyekiti wa CHADEMA?
 
Ametajwa wapi kuwa ata ridhi hiyo nafasi? To me kama hana interest na siasa abaki huko huko
 
Hahaahahaaa kitu kama The Heroin II Case. Sikumbuki vizuri

.

Sijui ni kwanini MBOWE alimuita mwanaye jina baya kama la DUDLEY ambaye walimla nyama mtoto mdogo mpaka wakammaliza baada ya meli kuharibikia baharini na kuishiwa chakula. Wakaona chakufia nini wakajichinjia katoto na kukafanya mlo hadi walipookolewa
 
Mtoto wa Freeman Mbowe ambaye anatajwa tajwa sana kurithi mikoba ya baba yake kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA.

Lakini mimi binafsi naona hatoshi sababu amekimbia na mishahara ya wafanyakazi wa kampuni ya baba yake mpaka sasa baadhi ya mali zao zinatakiwa kupigwa mnada.

Haiwezekani mtetezi wa wanyonge ukafanya dhulma ya jasho la watu.

Lakini pia kwenye maandamano na mikutano haonekani.

Sitaki kuona mambo anayafanya Museveni yanafanyika hapa nchini na Chadema.

Wewe unaonaje anatosha hatoshi kirithishwa chama na baba yake?
Hiyo nafasi inawafaa Peter Msigwa au John Heche. Ila chonde chonde msije kuwaua mapema kama alivyouliwa Chacha Wangwe
 
Wanasema mbowe haachii chama sababu hanunuliki wengine wana bei kasoro familia yake hivyo dudley anatosha
 
Back
Top Bottom