AbasMzeEgyptian
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 407
- 312
NadhaniSijaelewa mkuu mantiki ya huu uzi ,Dau ameshateuliwa sijui balozi wa nchi ambayo mpaka sasa haijasemwa,
Uzi huu ume uleta baada ya kuelezea kwamba Dr Wangwe sio mtanzania na kwamba kina Ombeni Sefue,Charles Kitwanga Mhagama na wenzio walimpigia Jaramba huyo mama ,Dau kafanya kazi kubwa sana NSSF ila sijajua hapa amefikaje alishajadiliwa sana Sheikh wangu Dau ,au matarajio yako ni kwamba DAU atarudishwa tena NSSF ???
Utatenganisha vipi uteuzi na uraia. Either ni raia wa Tanzania au siyo. Hamna mjadala. Kuolewa au kuoa mgeni hakumpi huyo spouse uraia automatically lazima aombe na lazima akane uraia wake wa awali. Kama huyo mama kweli si mtanzania, wizara ya kazi basi watakuwa wameruhusu hiyo baada ya kuona hamna mtanzania mwenye uwezo kushika nafasi hiyo.AbasEgyptian ? Kuwa na staa , huyu mama/Dada si illegal immigrant , pili kama kuna sintofahamu ktk uteuzi wake in vizuri usihusishwe na urai wake kwani kuna watanzania wanawakilisha nchi zingine kwakuwa waliolewa au kuoa ktk nchi hizo kuna balozi wa UG nchini Kenya ni mtz aliye olewa na mganda etc hivyo tuwe wastaarabu kidogo na tusiwe kama watu ambao uweledi wetu Wa kuishi na majirani upo kwenye kiwango cha chini namna hii!!
Ishu si uraia,bali ni mgeni haruhusiwi kufanya kazi za utumishi wa ummaAbasEgyptian ? Kuwa na staa , huyu mama/Dada si illegal immigrant , pili kama kuna sintofahamu ktk uteuzi wake in vizuri usihusishwe na urai wake kwani kuna watanzania wanawakilisha nchi zingine kwakuwa waliolewa au kuoa ktk nchi hizo kuna balozi wa UG nchini Kenya ni mtz aliye olewa na mganda etc hivyo tuwe wastaarabu kidogo na tusiwe kama watu ambao uweledi wetu Wa kuishi na majirani upo kwenye kiwango cha chini namna hii!!
Sheikh Ally Kombo naona unamtetea mpambanaji Dau? Teh...teh..teh......Suti hukuziona ! @tatafikatu ..... hilo vazi hata Yesu kavaa na ndani ya Biblia limesifiwa kuwa ni vazi Takatifu !
Huoni mapapa na maburuda wanavaa !?