Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 12,678
- 21,230
Huyu Mwamba aisee amenishangaza. Ame niprove wrong, sikuwa na mwamini kivile.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Chini ya Dr Hussein Mwinyi mtoto wa Hayati Alihasani Mwinyi uongozi wake umepevusha amani na utulivu ndani ya visiwa vya Zanzibar.
Kuna utulivu wa juu sana ukilinganisha na awamu zilizopita. Hongera sana Dr Hussein Mwinyi ongeza juhudi kupunguza Uharifu mdogo mdogo ambao umetapakaa ktk mitaa na korido za Zanzibar.
Kumekuwepo na matukio ya vijana kupora watu mabarabarani na kuwaacha na majeraha ya mapanga visu na bisibisi. Tunaamini chini ya uongozi wako makini basi Jeshi la Polisil liongeze nguvu na kuacha Muhali watu wanaumia sana.
Weekend njema Wadau.