DR Congo: Serikali yasema waliojaribu kupindua Serikali ni Wakongo na raia wa Marekani

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,482
8,337
1716188464305.png



DR-CONGO: Serikali imesema jaribio la Mapinduzi lililozimwa mwishoni mwa Wiki iliyopita liliongozwa na Christian Malanga, Mwanasiasa mwenye uraia wa Congo lakini makazi yake yapo Nchini Marekani akiwa na kundi la Wanajeshi walioasi.

Msemaji wa Jeshi la DRC amesema takriban Watu 50 akiwemo Mtoto wa Malanga wamekamatwa, huku Malanga akiuawa katika jaribio hilo lililoanza kwa kuvamia makazi ya Viongozi wakuu wa Serikali wakiwemo Rais Felix Tshisekedi, Spika wa Bunge na Waziri Mkuu.

Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali, imedaiwa kuwa kwa takriban siku 3 DRC ilikuwa katika majaribio ya Mapinduzi ambayo Jeshi la Congo limeeleza kuwa limefanikiwa kuyazima na kurejesha hali ya utulivu
==========

Footage has emerged showing the leader of an attempted coup in Democratic Republic of Congo broadcasting live on Facebook from inside the presidential palace shortly before he was killed by authorities following the failed putsch on Sunday.

In the video, verified by Reuters, Christian Malanga, named by the army as the ringleader, declares in the Lingala language: "We, the militants, are tired. We cannot drag on with Tshisekedi."

Reuters was able to independently verify the location as the palace in Kinshasa by matching imagery to satellite data and file photos. The news agency also confirmed the date through corroborating information.

The government said Malanga, a US-based Congolese politician, was killed when his forces attacked the palace and residence of parliament speaker hopeful Vital Kamerhe in the early hours of Sunday.

Around 50 people including three American citizens were arrested, army spokesman Sylvain Ekenge told Reuters, adding that one of the US nationals was Malanga's son.

NATION MEDIA
 
Back
Top Bottom