Ntate Mogolo
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 403
- 677
President Uhuru Kenyatta of Kenya will be visiting the United States of America in August after Trump’s invitation.
What about Magufuli ???The best President in East Africa and Africa at large!.
Why ???No attention to this man. He should be taken off the list of the Presidents.
Mnmmh I don't think !The best President in East Africa and Africa at large!.
We unataka mtu socialist? Au mkisikia capitalist tu mnadhani slave kwa wazungu?Uhuru is capitalist let him go
Hapo ndio unajiona umeandika bonge la kizungu. Ha ha ha....He should be taken off the list of the Presidents.
Huwezi kuona kosa lako kwa sababu unajifanya mjanja ingawa ni kilaza.Shida iko wapi! Au ndiyo magonjwa mtambuka yamekupanda kichwani?
Hmm! Nimekuelewa sana lakini nahitaji unikosoe nikuonyeshe makosa yako.
Mbona hueleweki?Shida iko wapi! Au ndiyo magonjwa mtambuka yamekupanda kichwani?
Sentensi zote hizo mbili hazijakaa sawa. Lakini ndio hivyo tena, "wajanja" vilaza huwa hawaambiliki.No attention to this man. He should be taken off the list of the Presidents.
Sikusahihishi ng'o. Endelea na kizungu cha ugoko.Aisee! Ebu nisahihishe neno baada ya neno kama kweli nimekosea.
He'll only be invited by very few neighbor Presidents who can speak swahili language and not otherwise.What about Magufuli ???