Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 11,347
- 14,236
Nakuuliza swali moja na unijibu.Nasema hivi, ukipanic lazima utaongea vitu vya ajabu, kwenye post yako umemtaja Marando, yeye ni nani ili nijue kama hujapanic? Isitoshe ulichoandika hakina mtiririko mzuri, na umechanganywa mambo mengi kwa pamoja, mpaka nimeshindwa kuelewa hoja yako ni nini hasa.
Ni nani unayemwona Mpizani halisi katika nchi hii.
Mpinzani Mzalendo anayefuata utawala wa Siasa za kidemokrasia.
Kati ya hao viongozi wa Upinzani
Nitajie mmoja tu tumchambue hapa