Wadau,
Nimekutana na caption huko insta ya Mange juu ya Dada yetu Dr.Mwele, hii habari si nzuri. Mwenye info zaidi tuletee.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa!
View attachment 2115127
Mwele Ntuli Malecela (alizaliwa tarehe 26 Machi 1963) alikuwa mkurugenzi wa taasisi ya tafiti za kiafya Tanzania (NIMRI).
Aliwania nafasi ya mgombea wa uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Kuanzia Aprili 2017 Mwele Malecela amekua akifanya kazi na Shirika la Afya Duniani (WHO) upande wa Afrika kama msimamizi wa maswala ya utawala, sera na ushauri wa kidiplomasia.
Hahahaha naikumbuka hii siku.... enzi hizo...Mkuu Mwaikibaki , asante kuni tag, it's so sad!. Mimi ndiye nilikuwa MC wake kwenye harusi yake.
RIP Dr. Mwele Malecela.
P
Sad news,Pole nyingi kwa familia na Watanzania kwa ujumla, Mungu awe faraja katika nyakati hizi ngumuView attachment 2115127
Mwele Ntuli Malecela (alizaliwa tarehe 26 Machi 1963) alikuwa mkurugenzi wa taasisi ya tafiti za kiafya Tanzania (NIMRI).
Aliwania nafasi ya mgombea wa uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Kuanzia Aprili 2017 Mwele Malecela amekua akifanya kazi na Shirika la Afya Duniani (WHO) upande wa Afrika kama msimamizi wa maswala ya utawala, sera na ushauri wa kidiplomasia.
Pia, soma:
1) Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi NIMR Dr. Mwele Malecela
2) Rais Magufuli: Aliyetangaza ugonjwa wa ZIKA nchini alikuwa anatumika na ndiyo maana nilipomfukuza, waliomtuma wakamteua kuwa Mkurugenzi
3) Dr. Mwele Malecela aula WHO
4) Dr. Mwelecele (aka Mwele) Malecela pamoja na Dr. Kigwangala wamechukua fomu ya kugombea Urais wa JMT
Duh poleni sana familia ya Malecela.. Apumzike kwa Amani Dr. Mwele.View attachment 2115127
Mwele Ntuli Malecela (alizaliwa tarehe 26 Machi 1963) alikuwa mkurugenzi wa taasisi ya tafiti za kiafya Tanzania (NIMRI).
Aliwania nafasi ya mgombea wa uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Kuanzia Aprili 2017 Mwele Malecela amekua akifanya kazi na Shirika la Afya Duniani (WHO) upande wa Afrika kama msimamizi wa maswala ya utawala, sera na ushauri wa kidiplomasia.
Pia, soma:
1) Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi NIMR Dr. Mwele Malecela
2) Rais Magufuli: Aliyetangaza ugonjwa wa ZIKA nchini alikuwa anatumika na ndiyo maana nilipomfukuza, waliomtuma wakamteua kuwa Mkurugenzi
3) Dr. Mwele Malecela aula WHO
4) Dr. Mwelecele (aka Mwele) Malecela pamoja na Dr. Kigwangala wamechukua fomu ya kugombea Urais wa JMT
Ni Mtoto wa kufikia wa DkTaarifa zaidi kutoka kwa mwanae Mange Kimambi yaani Mange Kimambi ni mtoto wa Dk. Mwele au mtoto wa Mange Kimambi ana tarifa zaidi?
R.I.P.
Dr. Mwele ni mama wa kambo wa Mange yaani baba ake Mange alimuoa doktaTaarifa zaidi kutoka kwa mwanae Mange Kimambi yaani Mange Kimambi ni mtoto wa Dk. Mwele au mtoto wa Mange Kimambi ana tarifa zaidi?
R.I.P.
Miaka 60 +Alikua na umri gani huyu mama,naona Kama alikua bado mdogo?