Kwenye milage we ni muongo mkubwa tena mkubwa Fiscovery zote kutoka Ulaya zinakuja na millage ya zaidi ya 100 000 labda iwe imetoka Japan, ndo maana zinakufa haraka hapa bongo.Bei/Price: TSH 42M
Call0747 999 927
LAND ROVER DISCOVERY 4
Year: 2010
Engine: 2983Cc
Mileage: 52,000+
Fuel Used: DIESEL
Transmission: AUTO
Clean Interior
In Good Condition
Exchange Possible
NB Iko Kwenye Hali Nzuri Haijawahi Kurudiwa Rangi, Kupata Ajali Wala Kuguswa Kwa Upande Wa Engine
OFISI ZANGU ZINAPATIKANASINZA MADUKANI MKABALA NA DUKA LA UK TOTO BARABARA YA SHEKILANGO
Instagram|@darautobroker
View attachment 2971096View attachment 2971097View attachment 2971099View attachment 2971101View attachment 2971102View attachment 2971104
Ndio Maana Wahenga Walisema Kuuliza Sio Ujinga Na I Wish Kama Ungejua Iyo Gari Nani Aliagiza Na Ilifika Hapa Nchini Ikiwa Na Mileage Ngapi Wala Usingethubutu Kutamka Hayo Maneno Yako.Kwenye milage we ni muongo mkubwa tena mkubwa Fiscovery zote kutoka Ulaya zinakuja na millage ya zaidi ya 100 000 labda iwe imetoka Japan, ndo maana zinakufa haraka hapa bongo.
Asking For🏷️: TSH 42MPrice & reason for sale?
Naam! Uko Sahihi KabisaKAZI ni kipimo Cha utu
Basi wapeleke watu kwa KC, hizi tuachie sisi wa jf.Hiyo ndio bei kitonga ?? Wakati Kc anauza kwa bei ya msererko M 32 unasukuma chuma
Ancient vehicleBei/Price🏷️: TSH 42M
Call📞0747 999 927
LAND ROVER DISCOVERY 4
Year: 2010
Engine: 2983Cc
Mileage: 52,000+
Fuel Used⛽: DIESEL
Transmission: AUTO
✅Clean Interior
✅In Good Condition
✅Exchange Possible
NB 📌 Iko Kwenye Hali Nzuri Haijawahi Kurudiwa Rangi, Kupata Ajali Wala Kuguswa Kwa Upande Wa Engine
OFISI ZANGU ZINAPATIKANA📍SINZA MADUKANI MKABALA NA DUKA LA UK TOTO BARABARA YA SHEKILANGO
Instagram📸|👉🏽@darautobroker
View attachment 2971096View attachment 2971097View attachment 2971099View attachment 2971101View attachment 2971102View attachment 2971104
Kiuhalisia ingeuzwa bei ganBei/Price🏷️: TSH 42M
Call📞0747 999 927
LAND ROVER DISCOVERY 4
Year: 2010
Engine: 2983Cc
Mileage: 52,000+
Fuel Used⛽: DIESEL
Transmission: AUTO
✅Clean Interior
✅In Good Condition
✅Exchange Possible
NB 📌 Iko Kwenye Hali Nzuri Haijawahi Kurudiwa Rangi, Kupata Ajali Wala Kuguswa Kwa Upande Wa Engine
OFISI ZANGU ZINAPATIKANA📍SINZA MADUKANI MKABALA NA DUKA LA UK TOTO BARABARA YA SHEKILANGO
Instagram📸|👉🏽@darautobroker
View attachment 2971096View attachment 2971097View attachment 2971099View attachment 2971101View attachment 2971102View attachment 2971104
Market Price Yake Iyo Ni TSH 52,000,000/=🏷️ Lakini Kwa Kuwa Mapenzi Yetu Ya Hela Hayazidi Mapenzi Ya Ubinadamu Ndio Maana Tumepiga Mtama BeiKiuhalisia ingeuzwa bei gan
Asante Sana Kaka Japo Sipendi Kuzungumzia Biashara Za Watu Lakini Uyo Anayemzungumzia Na Gari Zake Ukiwauliza Watu 10 Walionunua Basi Kati Yao 8 Ni Kilio Cha YatimaBasi wapeleke watu kwa KC, hizi tuachie sisi wa jf.
Discovery hiyo iko sawa saaaaaaana. Kwasisi wajua magari iko sawa saaaana
Acha Kufananisha Malonya Lonya Na Vitu Vya Maana Kama IviHiyo ndio bei kitonga ?? Wakati Kc anauza kwa bei ya msererko M 32 unasukuma chuma
Ipo Nyeupe Boss Nicheki +255 747 999 927 Napatikana Na Whatsapp Pia Kwa Namba IyoNapenda discover nyeupe