Diamond sio Msanii wa Kimataifa kama anavyoaminisha watu

Ana hit song gani marekani?
BET alikuwa kipengele gani?
So watu wote ambao wamepiga picha na dogg wanajulikana?
Kwa hiyo wewe hit song ni hadi iwe kwenye trend ya Billboard? Jeje ilitamba huko, BET alikuwa nominated kama best African musician na alishindana na Burna Boy na Burna boy akashinda!

Diamond hakupiga picha na Snoopy mtaani alipiga nae wakiwa studio, sio watu wote hupiga picha na Snoopy wakiwa studio! na hili ni wazi kuwa anajuana na Snoopy!

Ukipunguza kidogo chuki binafsi dhidi ya huyu kijana utaweza kuyaona mafanikio yake!
 
Diamond wa Tandale bado kuwa msaani wa kimataifa au hajatoboa mipaka ya Dunia kama ilivyo kwa wasanii wa Nigeria.

Vigezo changu kikubwa hana Show kubwa za kimataifa kama Davido na Wizikid. Hana hit song ya iliyopenya kama vile ya Love mwantiti au On the low.

Show zake za marekani bado sana, wateja wake ni baadhi ya wacongomani, warundi, wakenya na wanyarwanda ndo wanaingia show zake. idadi kama watu 300 hivi, niliwahi kuwepo show yake moja ya louisville, kentucky. Tofauti na wazake wanajaza kumbi za 02 arena.

Diamond ni msanii wa africa pekee.
Ila ana pesa za kumtosha

Ana jina kubwa

Ana miradi

Ana connections

Na kikubwa amaishi ndoto zake
 
Kwa hiyo wewe hit song ni hadi iwe kwenye trend ya Billboard? Jeje ilitamba huko, BET alikuwa nominated kama best African musician na alishindana na Burna Boy na Burna boy akashinda! Diamond hakupiga picha na Snoopy mtaani alipiga nae wakiwa studio, sio watu wote hupiga picha na Snoopy wakiwa studio! na hili ni wazi kuwa anajuana na Snoopy! Ukipunguza kidogo chuki binafsi dhidi ya huyu kijana utaweza kuyaona mafanikio yake!

Diamond hana hit song. jeje ni hit song kwa level ya tanzania.

Kujuana na snoopy haina maana marekani ametoboa.
 
Diamond hana hit song. jeje ni hit song kwa level ya tanzania.

Kujuana na snoopy haina maana marekani ametoboa.
Hapo ndio kwenye shida sasa yaaani wewe unalinganisha hit song na kutoboa kwa level a Marekani na Ulaya, yaani unataka kumringanisha Diamond na wanamuziki wa Marekani wanaohit na waliotoboa huo....mlinganishe na waAfrika waliopo Afrika.

Kwa Afrika jeje ni hit song, na kujuana na Snoopy kwa mwanamuziki wa Kia Afrika ndio kutoboa kwenyewe huko...ni wanamuziki wangapi wa ki Afrika wanajuana na Superstars wa America huko!

Unaweza kuwahesabu kwa vidole na Diamond yumo! Haijalishi ni kiasi gani utaipaka matope dhahabu itabaki kuwa ni dhahabu!
 
IMG_0289.jpg

IMG_0290.jpg

IMG_0292.jpg

IMG_0286.jpg
 
Sikatai hizi facts ila kama unafuatilia huu mziki utanielewa! Diamond hana strems nyingi kwasababu zifuatazo;
1. Wabongo wako nyuma kwenye swala la streaming
2. Diamond hana album kwenye digital platforms! Album ya a boy from tandale ilitoka 2017/2018 na aliiweka mitandaoni ila kipindi hicho mambo ya streaming yalikuwa ngeni kwa wabongo wengi! Kama unafatilia mziki wake kwa sasa utaona jinsi gani FOA inavyomuongozea no kwenye streaming platforms!
 
Sikatai hizi facts ila kama unafuatilia huu mziki utanielewa! Diamond hana strems nyingi kwasababu zifuatazo;
1. Wabongo wako nyuma kwenye swala la streaming
2. Diamond hana album kwenye digital platforms! Album ya a boy from tandale ilitoka 2017/2018 na aliiweka mitandaoni ila kipindi hicho mambo ya streaming yalikuwa ngeni kwa wabongo wengi! Kama unafatilia mziki wake kwa sasa utaona jinsi gani FOA inavyomuongozea no kwenye streaming platforms!

Huu ushambiki wa kishamba sana.
hivi kwani hakuna wasanii walionza kabla ya wizkid, davido na burnaboy.

Hivi hakuna wasanii walionza kutumia social media kabla ya Domo lakini Domo amewazdi followes au views
 
Hiyo mitandao imeanza kuingia inchini au kutumiwa lini ukilinganishwa na nchi kama nigeria tuanzie hapa kwanza

Kuanza sio tatizo.
kwani hakuna wanigeria ambayo domo amewazidi, followers, views na mengine na wameanza kabla yale.
 
Back
Top Bottom