Sasa hii ni tafsiri sahihi ya Abnormal wide load, sio hizi zinazotoka Dar kwenda mikoani au nchi jirani.
Ni maeneo gani hapokama upo Dar es salaam hakikisha unaenda kwenye ofisi za TAESA wanazo ajira za udereva wanahitajika madereva wengi sana.
uwe na elimu ya kidato cha nne na kuendelea...! uwe na uzoefu kuanzia miaka 5 uwe na Leseni ya class E
Opposite na CBENi maeneo gani hapo
Madereva hawajamuunga mkono mtoa mada vibaya hivoooo!!
Sawa hiyo CBE ni wapOpposite na CBE