DC mstaafu Richard Kasesela atubu Kanisani kwa Mchungaji Matsahi Kosa la kumfukuza Kazi Afisa Tarafa kimizengwe, Kasesela Alia!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,753
143,206
Mnec Richard Kasesela Leo amefika KKKT Kimara na Kutubu huku akilia sana baada ya kumkuta Mtu aliyemfukuza Kazi Iringa Mjini akiwa ni Muhubiri anayetumainiwa hapa jijini DSM Mwinjilisti Mwaulesi

Kasesela anesema akiwa DC wa Iringa alimfukuza Kazi Afisa Tarafa Ndugu Mwaulesi kwa mashtaka ya Uwongo aliyoletewa ofisini kwamba Mwaulesi alikuwa Anahubiri Kwenye Mabasi na Kukusanya Sadaka ambazo haikujulikana anakozipeleka

Mnec Richard Kasesela amemuomba radhi Mwinjilisti Mwaulesi huku akilia na kusema kama asingemfukuza Kazi huenda Leo mh Mwaulesi angekuwa Mkuu wa mkoa

Source: KKKT Kimara tv

Dominica njema 😄😄
 
Kama amekiri hivyo basi hana sifa ya kuwa hata mnec alipaswa ajihudhurunadhifa zake.
Alafu aache maigizo yake anapenda sana attention ambazo zinaqeza kumkaanga kabisa.
 
Mnec Richard Kasesela Leo amefika KKKT Kimara na Kutubu huku akilia sana baada ya kumkuta Mtu aliyemfukuza Kazi Iringa Mjini akiwa ni Muhubiri anayetumainiwa hapa jijini DSM Mwinjilisti Mwaulesi

Kasesela anesema akiwa DC wa Iringa alimfukuza Kazi Afisa Tarafa Ndugu Mwaulesi kwa mashtaka ya Uwongo aliyoletewa ofisini kwamba Mwaulesi alikuwa Anahubiri Kwenye Mabasi na Kukusanya Sadaka ambazo haikujulikana anakozipeleka

Mnec Richard Kasesela amemuomba radhi Mwinjilisti Mwaulesi huku akilia na kusema kama asingemfukuza Kazi huenda Leo mh Mwaulesi angekuwa Mkuu wa mkoa

Source: KKKT Kimara tv

Dominica njema 😄😄
Yeye Kasesela mbona hajawa Mkuu wa Mkoa??? Ujinga ujinga tu
 
Mnec Richard Kasesela amemuomba radhi Mwinjilisti Mwaulesi huku akilia na kusema kama asingemfukuza Kazi huenda Leo mh Mwaulesi angekuwa Mkuu wa mkoa
Nje ya hapo hakuna kingine wanachowaza. Ndiyo maana wengine tulishaamua kujiweka mbali na madhabahu. Kinachoendelea huko Madhabahuni ni utakatishaji tu ili kuwawezesha watu fulani kiuchumi, kisiasa n.k
 
Back
Top Bottom