David Rudisha breaks world record ---Again!!

Quickly

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
1,056
649
Huyu mjamaa hatosheki kamwe na medali 4 za Olympics na World za dhahabu na rekodi ya 800 m, inaonekana atashindana tu na kivuli yake maanake hamna anayemweza kwenye mbio za masafa ya kati.


Huyu hapa akishindana huko uingereza kwenye mashindano ya Great North Run katika kitengo cha 500 m.

 
Watamkoma hao, afu mapolisi walijaribu kumkwamisha kumbe ndio atavunja rekodi yake mwenyewe. Atamiliki huo ufalme
hadi mwenyewe aamue kuachia.
 
Back
Top Bottom