Dar es Salaam bila tatizo la foleni 2030 inawezekana

Fabian_255

New Member
May 17, 2024
3
0
Foleni!! Foleni!

Huu ni wimbo miaka nenda Rudi kwa miaka sas kwa jiji la Dar es salaam, japo jitihada mbali mbali zimefanywa na vingozi mbali mbali kujenga miundombinu kwajili ya ktatua ama kuondoa tatizo hili lakini imeshindikana.

Lakini viko Vitu tunaweza kufanya nikasaidia kwa miaka ya mbeleni kuondoa tatizo hili,

1. Kuhamasisha uwekezaji nje ya dar es salaam, kwa Vitu pendwa kwa watu.

Nikitaka Simba na Yanga, Wasafi na Kings music hizi ni miongoni mwa pande mbili pendwa Sana nchini
Serikali unaweza kuhamisha mako ya virabuu vya Simba ya yanga kupeleka mikoani hii itafnya watu wengii Sana kuondoka, kuvifata virabuu vyao.

Pia serikali inaweza kugawa mikoani kwa wasabi Diamond na alikiba na kuwaambia , wajnge huko studio za rebo zao hii nayo itafnya wimbi kbwa la vjna wanaokja dar es salaam kwaajili ya kujarib bahati yao ya muziki kwenye rebo hizi kupungua.

2. Urbanizion ya mikoa mwingine ( kumpigia chupuo na kutangaza mikoa mwingine). Kuna mikoa mizuri zaidi nchini kwa biashara na makazi lakini Tu ni vile haijazngumzwa kama inavotajwa Dar es salaam, hivyo serikali inaweza kuanza mpngo maalum wa kutengeneza miundombinu na kutangaza mikoa mingine ili kuvutia watu kuhamia huko badala ya kukimbia hapa tu.

3. Kuwekeza katika muendelezo wa bandari za mtwara na Tanga
Ili kupnguza msongomano wa mizigo mingi utaingia katika bandari ya dar es salaam na kusababisha msongomano ya magri mqkubwaa katika bara bara zake.

4. Kuhamisha serikali nzima na wizara zake na kupeleka mako makuu Dodoma 😂😂
Tukiuliza wabunge na mawaziri wanfnya nin dar es salaam maan sio wasanii wara wafanyabiashara lakini wanamisurur mirefu sana ya magari, hvyo kuwaondoa na kwapeleka kwenye miji yenye uwazii kama Dodoma itapnguzaa Sanaa msongomano
C4-KvqhWMAUSRDC.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom