HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 69,530
- 94,996
Dangote kafungua kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta.
Kiwanda hicho kitakuwa na uwezo wa kusafisha mapipa 600,000 kwa siku (600K BPD)
Kiwanda hicho kitakuwa kikubwa kuliko vyote Afrika.
Kiwanda hicho kitakuwa ni kiwanda kikubwa cha Single Line Duniani.
Kiwanda hicho kitatoa zaidi ya Tani 900,000 za Plastic kwa Mwaka PPE
Kiwanda hicho kitatosheleza matumizi ya mafuta ya Nigeria na bado mengine yatabaki kwa ajili ya kuuza nje
Kiwanda hicho kitategemea kupata malighafi kutoka Nigeria, Marekani na nchi zingine
Kiwanda hicho kinaweza ongezwa ukubwa hadi kufikia mapipa milioni 1 kwa siku.
Dangote alijenga Bandari binafsi ili kufanikisha zoezi hilo.
Matenki 177 yamejengwa ambayo yataweza tunza mafuta lita Bilioni 4.7
Kitakuwa kiwanda kikubwa cha mbolea Afrika nzima.
Gharama zilizotumika ni Tzs 50 Trilioni