Damu 4.2 Baada ya kujifungua siku ya 23

malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
2,781
2,722
Habar wakuu mke wangu kajifungua tar 1/3/2024 Leo tar 23 kaamka kichwa kinaumaa kizungu zungu homa Kali barid Kali,,tukaenda hospital kapimwa kakutwa na damu 4.2.

Kapewa dawaferrous sulphate + folic acid tablet ameambiwa anywe 1×2.

wadau msaada zaid
 
Yaan huyo alitakiwa kuwa hospital saa hii akiongezewa damu,tena mama anaenyonyesha ni hatar,akiweza kuosha tembele na maji uvuguvugu asage kwenye blender anywe kadri awezavyo ndani ya wiki tu damu itaongezeka ila asiache dawa za hospital ni muhimu.
 
Ila 4.2 ni ndogo sana chief
Ni kweli kabisa ni ndogo aisee nilioverlook nikaona kama 6.2..

But japo iko far away kuiconsider kuwa Postpartum Anemia ila kuna maswali inabidi Mtoa mada atupe majibu yake..

-Alijifungulia Nyumbani au Hospitali na Kwa njia Ipi?
-kabla ya Kujifungua Alikuwa ana kiasi gani cha damu?
- Kama ana homa kali inanipa maswali mengi ya Postapartum Infection..

So swali kwa mleta mada Alipojifungua alitoka Damu nyingi? Na Vipi kuhusu Damu kutoka baada ya masaa 24? Alilazwa tena baada ya kutoka damu..?

Naomba kujua Rangi ya Majimaji yatokayo Ukeni yana rangi gani (Colour of lochia) je kuna clot "Kama damu zilizoganda"..

But as ilivyotakiwa alitakiwa Kuwa Amepata angalau unit moja mpaka mbili ya Packed RBC
 
Habar wakuu mke wangu kajifungua tar 1/3/2024 Leo tar 23 kaamka kichwa kinaumaa kizungu zungu homa Kali barid Kali,,tukaenda hospital kapimwa kakutwa na damu 4.2.. kapewa dawaferrous sulphate + folic acid tablet ameambiwa anywe 1×2...wadau msaada zaid
damu 4.2 sidhani kama angesavaivu. though mimi sio doctor. namfahamu mtu alipoteza maisha akiwa na damu 6 wakati wa ujauzito. awe karibu na madaktari na kama kuna uwezekano wa kuongezwa damu itafaa.
 
Hiyo ni hatari mpeleke akaongezewe damu. Huyu mzazi mpatieni juice ya beetroot(wanatamka mabetruse). Inapatikana kwenye masoko makubwa. Unachemsha, yanapoa na kuchuja kina unakunywa glass moja asubuhi, mchana na jioni. Yanaongeza damu kwa kasi sana
 
Pamoja na dawa. Kama kuna mparachichi jirani chuma majani yake yachemshe. Anywe maji yake. Afululize hata wiki. Hiyo inaongeza damu kwa haraka sana.

Pia matembele,yachemshwe tu ale mara kwa mara na mchuzi wake anywe. Siku 3 nyingi atakuwa amerudi vizuri. Aendelee na hizo dozi za michicha na matembele. Msitegemee sana dawa za hospital.
 
Ni kweli kabisa ni ndogo aisee nilioverlook nikaona kama 6.2..

But japo iko far away kuiconsider kuwa Postpartum Anemia ila kuna maswali inabidi Mtoa mada atupe majibu yake..

-Alijifungulia Nyumbani au Hospitali na Kwa njia Ipi?
-kabla ya Kujifungua Alikuwa ana kiasi gani cha damu?
- Kama ana homa kali inanipa maswali mengi ya Postapartum Infection..

So swali kwa mleta mada Alipojifungua alitoka Damu nyingi? Na Vipi kuhusu Damu kutoka baada ya masaa 24? Alilazwa tena baada ya kutoka damu..?

Naomba kujua Rangi ya Majimaji yatokayo Ukeni yana rangi gani (Colour of lochia) je kuna clot "Kama damu zilizoganda"..

But as ilivyotakiwa alitakiwa Kuwa Amepata angalau unit moja mpaka mbili ya Packed RBC
Alijifungulia hospital
Kabla yakujifungua wiki tatu kabla alienda clinic akaambiwa anadamu ndogo
Homa alikua nayo Leo asubuh nabarid kabla yakwenda hospital baada yakupimwa nakupewa dawa angalau Sasa anaskia tu barid kiasi
 
Ni Hospitali au zahanati?
Mrudishe Hospitali kubwa!

Kama utapata Uwezo Hospitali ya Wilaya au Rufaa za Mkoa ni Bora zaidi..
Kuna uwezekano akawa na Maambukizi Ya Baada ya Kujifungua (Postpartum Infection)..

Pia jitahidi Apimwe FBP
 
Kama ulienda hospitali kuanzia ya mkoa, basi naamini wamemfanyia assessment na wamejiridhisha anaweza kuruhusiwa...

Ila kama umeenda hospitali chini ya hapo, broo mbebe mkeo umpeleke hospitali kuanzia mkoa. Hb ya 4.2 kwa mama anayenyonyesha ni mbaya bora hata angekuwa mjamzito.

Na kwa dalili ulizozisema inaonesha anaelekea kupata Anemia in Failure.

Hata kama mazingira magumu, jitahidi pakikucha kesho afike hospitali kuanzia ya mkoa.
 
Mpeleke hospital....

Pia mpe mzazi supu ya kutosha baba nanii
 
Ni Hospitali au zahanati?
Mrudishe Hospitali kubwa!

Kama utapata Uwezo Hospitali ya Wilaya au Rufaa za Mkoa ni Bora zaidi..
Kuna uwezekano akawa na Maambukizi Ya Baada ya Kujifungua (Postpartum Infection)..

Pia jitahidi Apimwe FBP
Nihosipital hizi zawakatoliki
 
Kama ulienda hospitali kuanzia ya mkoa, basi naamini wamemfanyia assessment na wamejiridhisha anaweza kuruhusiwa...

Ila kama umeenda hospitali chini ya hapo, broo mbebe mkeo umpeleke hospitali kuanzia mkoa. Hb ya 4.2 kwa mama anayenyonyesha ni mbaya bora hata angekuwa mjamzito.

Na kwa dalili ulizozisema inaonesha anaelekea kupata Anemia in Failure.

Hata kama mazingira magumu, jitahidi pakikucha kesho afike hospitali kuanzia ya mkoa.
Anemia in failure ndio kitu gani
 
Anemia in failure ndio kitu gani
Anaemia in Failure ana maanisha Anaemia Which may Complicate into Heart failure or It has already started to Complicate into...

Sema kaiweka Jargon tu
But in reality mpeleke Hospitali hali hiyo siyo nzuri sitaki kuongea mengi anayoweza kuyapata ila Nenda wahi kabla hayajampata
 
Back
Top Bottom