CUF kupewa majimbo 35, NLD 5, NCCR Mageuzi 15 ni haki?

Hapo penye maandishi mekundu japo sijui ni majimbo gani ila hao ndio watakuwa baraza lake la Mawaziri ,nje na Mbowe ambaye atakuwa PM. Pro.Kitilla Mkumbo jana kwenye kipindi cha Siasa za Siasa EATV alisema Chadema LAZIMA watafyta kwa Lowasa na atakuja na utaratibu wake kama uleule ndani ya CCM.

Mkuu Kitila amesahau kuwa katiba and inawaruhusu wabunge wamu impeach Rais endapo akichemka/vunja katiba. Lkn hiyo sio issue sasa hivi. Issues in kupiga kura za NDIO kwa wingi kwa Rais,wabunge na madiwani wote wa UKAWA nchi nzima.
 
Wanaukumbi.

Huu mgawano wa majimbo ya uchaguzi wa UKAWA umefuata haki? CUF wamepewa majimbo 35, NCCR Mageuzi wamepewa majimbo 15, NLD wamepewa majimbo 5.

Majimbo yote yaliyobakia wamechukuliwa na wagombea wa Chadema, pia Lowassa kaomba majimbo 30 kwa ajili ya watu wake aliokuja nao.

Na wabunge waote wa viti maalum wanatoka Chadema, na ruzuku kubwa watachukuwa Chadema, huu ushirikiano wa chui na kondoo.

Chadema wana majimbo 189 ambayo wamejipa.

Kuna hatari kubwa baada ya uchaguzi kutokea mgogoro mkubwa wa kimaslahi ndani ya UKAWA.

Wewe zungumzia ya kwenu yenyewe yanawashinda mambo ya ngoswe mwachie ngoswe .
 
Naona wamekosea yaani hata wangeyachukua yote alimuradi safari hii muondoke tu ,hakuna kupata wala aliekosa ,umekosa kufikiri kama hivi vyama vimeungana kiaina na muungano huo wamekuwa wamoja ,sasa hesabu za hawa wamepata wengi umezitoa wapi ,uko CCM chukulieni zile hesabu za seti hapa vyama vinashirikiana katika U union set ,kuna common ground ambayo hio ndio lengo kuu ,kumuondoa Sulutani CCM ,mengine baadae.

Mmelifilisi Taifa kwa tamaa zenu za ruzuku ,huku hakuna huo ulafi uliowapelekea kuikondesha nchi.:A S-frusty2:
 
Mimi muumini wa serikali tatu nipo na Mzee Warioba pamoja na Polopole.

Pole pole naona anasubiria mafao ya kupewa nafasi ya Nape akiwa mbunge atapoozwa tu uone kama ataikumbuka tena katiba ya warioba njaa mbaya sana.
 
Naona kamamda unaitafuta jela kwa nguvu nakupa angalizo tu.

Usijione umejificha ndani na laptop ukajiona upo salama.

Huyu provide anayekupa Internet ndiyo atawasaidia polisi kukupata wewe.

Usije kusema ukuuambiwa.

Jela utaanza kwenda wewe na haya machapisho yako ya kichochezi ya AL-HUDA
 
Wanaukumbi.

Huu mgawano wa majimbo ya uchaguzi wa UKAWA umefuata haki? CUF wamepewa majimbo 35, NCCR Mageuzi wamepewa majimbo 15, NLD wamepewa majimbo 5.

Majimbo yote yaliyobakia wamechukuliwa na wagombea wa Chadema, pia Lowassa kaomba majimbo 30 kwa ajili ya watu wake aliokuja nao.

Na wabunge waote wa viti maalum wanatoka Chadema, na ruzuku kubwa watachukuwa Chadema, huu ushirikiano wa chui na kondoo.

Chadema wana majimbo 189 ambayo wamejipa.

Kuna hatari kubwa baada ya uchaguzi kutokea mgogoro mkubwa wa kimaslahi ndani ya UKAWA.

Nyamaza We Kibaraka Wa C.C.M, Unajua Mgawanyo Wake Unazingatia Vigezo Gani? Mosi, Maeneo Yote Hapo Mwanzo Ambayo Yalikuwa Na Mbunge Kutoka Chama Fulani Basi Eneo Hl Linabaki Kuwa Ni La Chama Hicho. Pili, Eneo Ambalo Halikuwa Na Mbunge Toka Chama Chochote Kigezo Kilichotumika Ni Kuangalia Rejesta Ya Uwingi Wa Wanachama Wa Chama Husika, Chama Chenye Wafuasi Wengi Kinapewa Jimbo. RUDI TENA UKAJIPANGE UPYA KUPIKA MAJUNGU YAKO.
 
Samahani mkuu mambo ya mgawanyo wa majmbo ndani ya UKAWA ungeyaacha huko kwa wewe inakuhusu nini!?
isitoshe hatujapata malalamiko toka kwao, mi nafikiri ungejikita zaid kujua yanayojiri huko kwenu magambaz
 
Hamna MOU yeyote CUF ndiyo wamefanikisha maandamano ya juzi kuanzia ofini kwao leo hii wanapewa majimbo 35 tena yale magumu.

NLD unakwenda kuumpa jimbo la Ilala si kumuonea bure.

Lowassa kaja juzi kapewa majimbo 30.

Kwani umeambiwa hapo ilala NLD watafanya kampeni peke yao? Huyo anawakilisha ukawa kwahio vyama vyote vvinavyounda ukawa kwenye hilo jimbo watapiga kampeni pamoja kuwashawishi wananchi wamchague mgombea wa NLD.

Kwa kifupi mkuu wa Tanzania tumefikia wakati kwamba tuko tayari hata kumpigia kura mbwa, mbuzi , kondoo,....... hili kupata mabadiliko kuliko kuichagua CCM.
 
Wanaukumbi.

Huu mgawano wa majimbo ya uchaguzi wa UKAWA umefuata haki? CUF wamepewa majimbo 35, NCCR Mageuzi wamepewa majimbo 15, NLD wamepewa majimbo 5.

Majimbo yote yaliyobakia wamechukuliwa na wagombea wa Chadema, pia Lowassa kaomba majimbo 30 kwa ajili ya watu wake aliokuja nao.

Na wabunge waote wa viti maalum wanatoka Chadema, na ruzuku kubwa watachukuwa Chadema, huu ushirikiano wa chui na kondoo.

Chadema wana majimbo 189 ambayo wamejipa.

Kuna hatari kubwa baada ya uchaguzi kutokea mgogoro mkubwa wa kimaslahi ndani ya UKAWA.

Umenichekesha kweli na ujinga wako uliopitiliza.........! Haki unaijua wewe kweli......? Haki ipi unayoizungumza......CCM kweli this time wamekalia kigogo.....unakurupuka kuzungumzia makubaliano ambayo hujui yamefikiwaje...!
 
Naona wamekosea yaani hata wangeyachukua yote alimuradi safari hii muondoke tu ,hakuna kupata wala aliekosa ,umekosa kufikiri kama hivi vyama vimeungana kiaina na muungano huo wamekuwa wamoja ,sasa hesabu za hawa wamepata wengi umezitoa wapi ,uko CCM chukulieni zile hesabu za seti hapa vyama vinashirikiana katika U union set ,kuna common ground ambayo hio ndio lengo kuu ,kumuondoa Sulutani CCM ,mengine baadae.

Mmelifilisi Taifa kwa tamaa zenu za ruzuku ,huku hakuna huo ulafi uliowapelekea kuikondesha nchi.:A S-frusty2:

Kudos Mwiba , safi sana
 
Last edited by a moderator:
(Huu mgawano wa majimbo ya uchaguzi wa UKAWA umefuata haki? CUF wamepewa majimbo 35, NCCR Mageuzi wamepewa majimbo 15, NLD wamepewa majimbo 5.

Majimbo yote yaliyobakia wamechukuliwa na wagombea wa Chadema, pia Lowassa kaomba majimbo 30 kwa ajili ya watu wake aliokuja nao.

Na wabunge waote wa viti maalum wanatoka Chadema, na ruzuku kubwa watachukuwa Chadema, huu ushirikiano wa chui na kondoo.

Chadema wana majimbo 189 ambayo wamejipa.

Kuna hatari kubwa baada ya uchaguzi kutokea mgogoro mkubwa wa kimaslahi ndani ya UKAWA.)

usilolijua ni kama usiku wa giza totoro

Pilipili usiyoila yakuwashia nn?
 
Back
Top Bottom