CRDB Customer Service: Unapiga Simu Unawekewa wimbo wa Swaiba Langu ni Lako

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
19,932
52,624
Haya mambo unaweza ukalia.

Nimepata emergency natakiwa niwasiliane na watoa huduma wa CRDB. Aisee, wameniwekea wimbo wa Swaiba zaidi ya nusu saa.
Screenshot_20240504-140453.png
Screenshot_20240504-140510.png

Mara ya kwanza nikajua wamezidiwa na wateja ila nimegundua watakua hawapuuzia tu simu hawa.

Kwokwote walipo, kuanzia Meneja na team zenu, mna laana zangu.
 
Hizi kampuni zenye wateja wengi inabidi waangalie namna ya kuajili vijana katka hiki kitengo.

Sio lazima wakawapa ajira ya kudumu, hata za muda na walipwe kadiri ya kuattend hizo simu.

Inaweza kusaidia uharaka. 1 call labda afu3, watakvyoona na bajeti zao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom