Coastal Union Fc wakipambana wanaweza kushika nafasi ya tatu

MwananchiOG

JF-Expert Member
Apr 4, 2023
767
1,571
20240430_211433.jpg

Kwa mwenendo wa Ligi ambayo bado mbichi, endapo coastal union wakiongeza juhudi hakika wanaweza kushika nafasi ya tatu.KMC nao sio wabaya, Nafasi ya nne pia iko wazi kwao.Wapambane
 
Hivi mbali na Azam, Simba ana fixture nyingine ngumu ipi? Naiona nafasi ya 3 kweli kwa Simba.
 
Back
Top Bottom