Clouds Media Group watangaza kusitisha tamasha la Fiesta Dar

Maandalizi yote yale....mpaka jana walikua wanajiandaa... hii serikali ina maana hawakuona kama pale pana makazi ya watu mpaka bado siku moja ndiyo wanawapokonya kibali?

Wasifanye tena waache tu
Na miaka yote show zimepigwa hapo kama kawa
 
Nafikiri CMG wamefanya uamuzi mgumu lakini ni sahihi kabisa kusitisha kilele cha tigo fiesta kuliko kile ambacho kimeonekana kama ni altenative ya kuhamishia Tanganyika peakers (kawe) wakati walikuwa washafanya maandalizi pale leaders club..

Waswahil wanasema ni bora kuwa maskini jeuri kuliko kuwa tajiri mtumwa.. Wangeenda Tanganyika peakers watawala wangefanikiwa kupata wanachokitaka kuwafanya wawe watumwa wao.

Umeiba jina langu
 
Walichofanyiwa Clouds ni unyama! Serikali ilitoa kibali iweje wawakataze mwishoni mwa maandalizi huku watu wakiwa wameshaingia gharama kibao? Uwe unawapenda/huwapendi Clouds hili tukio ni la ajabu mno! Nani atawalipa gharama zao? This is not fair!!
Kwann wao waruhusiwe kutumia Leaders huku wengine wakizuiwa?
 
Mwaka Jana manispaa walisitisha kutoa vibali watu kupiga mziki pale ila jamaa wa clouds walipewa . Hata mwaka huu nyama choma festivals wamenyimwa, efm, etc sasa unadhani ni sawa kuacha waendelee, mbona maeneo yapo mengi e.g Tanganyika pck, mwembeyanga, uhuru stadium etc
Kwani huko hakuna makazi ya binadamu??
 
Walichofanyiwa Clouds ni unyama! Serikali ilitoa kibali iweje wawakataze mwishoni mwa maandalizi huku watu wakiwa wameshaingia gharama kibao? Uwe unawapenda/huwapendi Clouds hili tukio ni la ajabu mno! Nani atawalipa gharama zao? This is not fair!!
Naunga mkono hoja yako Mkuu ili tukio ni la kikatili sana. Wametumia gharama kubwa kuandaa... Bado muda waliotumia kwenye matangazo.. Watu wachache.wasiojua uchungu wa kupata hasara kwenye Biashara ndiyo watashabikia.
 
walipewa kibali jana wakati wa sound check inasemekana kuna wagonjwa 2 walizimia sababu ya kelele,hospitali wakapeleka malalamiko kwa mkurugenzi jioni kibali kikafutwa,
Usipoelewa na hapa rudi shule
Hii inawezekana maana ile mispika ya MID kama 600 hivi!
 
Country boy yupo,
Hayaa huyo diamond naee mbona kawaacha wenginee wengi tuu...??? Kina young d...country boy... Au sio wasaniii??? Hakuna tamasha unaweza Ita wasanii wotee hata siku mojaa...Wenye Hits na wenye upepo kipindi hicho ndo watakula Shavuu bhasiii... Unamuita mtu ili mradi msanii unadhani nani atakuja kwenye show???? Kila mtu anajali maslahi bhana... Hakuna mtu yupo tayari kupata hasaraa... Hilo tamasha la diamond pale hata wasingechukua wasanii wengine toka nje ya WCB bado tamasha laoo Lingefunikaa mbaya sababu Mboso...raymond..Diamond...harmonize..lavalava wotee Wana upepoo mkubwa tuu so kumuita mtu kama chin beez just kunogesha zaidi na kupeana ajira lakini wao Wenyews walitoshaaaa...! Kama unadhani ni rahisi anzisha tamasha lako uitee wasanii wote uoene kama hujala hasaraa...
 
Kwa hiyo bashite kafurahi? Ndo maana alinyimwa uzazi, kwa roho kama hiyo unazaa ili iweje?
 
Kwa boss wao ruge inawezekana kadedi
Nime tune in hapa mawingu FM naona naskia nyimbo zinatiririka tu na matangazo ila siwaskii wazee wa Jahazi Ephraim na mwenzie Gadner leo! Nahisi kuna kitu sio kawaida
 
mkuu hapo nadhani ni kwamba manispaa imewachinjia baharini. maana kibali walipewa mapema tu..manispaa ikiwa inajua kabisa uhalisia wa lile eneo. Halafu kinakuja kufutwa dakika ya mwisho.. its really unfair
Who freaking cares?
 
Who freaking cares?
Anyone who has a modicum of empathy should care. You may hate clouds fm and be happy that this is happening to them..but think for a moment of the hundreds of Tanzanians along the value chain who stood to gain an income from this event...perhaps invested in preparations and are now suffering losses just because of one persons unwise decision?
 
Back
Top Bottom