Clara Luvanga aitwa na FIFA kwa Ajili ya Vipimo

Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
4,451
16,340
Kama mnavyojua team ya taifa ya soccer upande wa wanawake ilifuzu kushiriki kombe la dunia linaloendelea sasa huko India ila star wa team Clara Luvanga haonekani. Sasa habari ambazo hazijathibitishwa ni kwamba Clara ameitwa na FIFA South Africa kwa ajili ya vipimo vya hormone na umri.

Huyu Clara amekuwa akichezea team ya Yanga Princess ya under 17. Sasa inasemekana wakati Tz inatafuta nafasi ya kufuzu kombe la Dunia tulicheza na Cameroon, Huyu Clara aliwafunga wa Cameroon magoli matatu na alikuwa na spidi za ajabu yani mbio zisizoelezeka mpaka kuwashtua wa Cameroon ambao walianza kulalamika kuwa Clara ni mwanaume na afanyiwe uchunguzi, wa Cameroon nasikia walitaka mpaka kuingia chumbani cha Clara ili wamvue nguo kwa jinsi alivyowaadhibu kwenye mechi. Baadae wa Cameroon wakapeleka malalamiko FIFA.

Baada ya TZ kufuzu tu kuingia kombe la dunia TFF wakamuondoa Clara kambini maana walijua kabisa kesi inakuja, Na hata baada ya kumuondoa ila bado FIFA iliwaambia TFF wampeleke Clara South Africa kwa vipimo vya hormones.

Inasemekana kwamba Clara yuko South Africa hadi sasa huku vipimo vya hormones vikiendelea na so far wanadai amekutwa na hormones nyingi za kiume hivyo anaweza asiruhusiwe kucheza soccer la kike tena.

TFF ilibidi watoe tamko la Clara alipo na kile kinachoendelea sio kukaa kimya tu. Na inasemekana TFF walikuwa wanajua toka mwanzo Clara ni mtu wa dizaini gani ila walitaka tu wafuzu kuingia kombe la dunia then ndo wamuweke pembeni.

IMG_20221014_080828.jpg

IMG_20221014_080905.jpg

IMG_20221014_080850.jpg

IMG_20221014_081032.jpg
 
Attachments

  • IMG_20221014_080905.jpg
    IMG_20221014_080905.jpg
    130.9 KB · Views: 50
Kama mnavyojua team ya taifa ya soccer upande wa wanawake ilifuzu kushiriki kombe la dunia linaloendelea sasa huko India ila star wa team Clara Luvanga haonekani. Sasa habari ambazo hazijathibitishwa ni kwamba Clara ameitwa na FIFA South Africa kwa ajili ya vipimo vya hormone na umri.

Huyu Clara amekuwa akichezea team ya Yanga Princess ya under 17. Sasa inasemekana wakati Tz inatafuta nafasi ya kufuzu kombe la Dunia tulicheza na Cameroon, Huyu Clara aliwafunga wa Cameroon magoli matatu na alikuwa na spidi za ajabu yani mbio zisizoelezeka mpaka kuwashtua wa Cameroon ambao walianza kulalamika kuwa Clara ni mwanaume na afanyiwe uchunguzi, wa Cameroon nasikia walitaka mpaka kuingia chumbani cha Clara ili wamvue nguo kwa jinsi alivyowaadhibu kwenye mechi. Baadae wa Cameroon wakapeleka malalamiko FIFA.

Baada ya TZ kufuzu tu kuingia kombe la dunia TFF wakamuondoa Clara kambini maana walijua kabisa kesi inakuja, Na hata baada ya kumuondoa ila bado FIFA iliwaambia TFF wampeleke Clara South Africa kwa vipimo vya hormones.

Inasemekana kwamba Clara yuko South Africa hadi sasa huku vipimo vya hormones vikiendelea na so far wanadai amekutwa na hormones nyingi za kiume hivyo anaweza asiruhusiwe kucheza soccer la kike tena.

TFF ilibidi watoe tamko la Clara alipo na kile kinachoendelea sio kukaa kimya tu. Na inasemekana TFF walikuwa wanajua toka mwanzo Clara ni mtu wa dizaini gani ila walitaka tu wafuzu kuingia kombe la dunia then ndo wamuweke pembeni.​

View attachment 2386620

View attachment 2386621

View attachment 2386623

View attachment 2386624
Paragraph hii nadhani umeandika kama ww ndo mkameruni

Duh.... huyu binti ni ninja kabisa, anaweza kumzidi hata 🕷 man
 
Oya mtoa mada, una uhakika hizi ndo picha za Clara au umechanganya mafaili? Maana hapa naona mwamba kabsa anaeweza kuitwa hata Mwita
Huyo ni she mkuu, anayo vagina ndiyo maana anacheza timu ya wanawake..

Sema inawezekana ana hormones nyingi za kiume ndiyo maana yuko masculine sana na amekosa baadhi ya female features kama breasts, facial softness nk.
 
Huyu mie nilijua tuu hawezi cheza haya mashindano.
Alafu bwana sie bongo wakajanja sana.
Tumepeleka u30 wanafungwa na u17 wa japan🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kama mnavyojua team ya taifa ya soccer upande wa wanawake ilifuzu kushiriki kombe la dunia linaloendelea sasa huko India ila star wa team Clara Luvanga haonekani. Sasa habari ambazo hazijathibitishwa ni kwamba Clara ameitwa na FIFA South Africa kwa ajili ya vipimo vya hormone na umri.

Huyu Clara amekuwa akichezea team ya Yanga Princess ya under 17. Sasa inasemekana wakati Tz inatafuta nafasi ya kufuzu kombe la Dunia tulicheza na Cameroon, Huyu Clara aliwafunga wa Cameroon magoli matatu na alikuwa na spidi za ajabu yani mbio zisizoelezeka mpaka kuwashtua wa Cameroon ambao walianza kulalamika kuwa Clara ni mwanaume na afanyiwe uchunguzi, wa Cameroon nasikia walitaka mpaka kuingia chumbani cha Clara ili wamvue nguo kwa jinsi alivyowaadhibu kwenye mechi. Baadae wa Cameroon wakapeleka malalamiko FIFA.

Baada ya TZ kufuzu tu kuingia kombe la dunia TFF wakamuondoa Clara kambini maana walijua kabisa kesi inakuja, Na hata baada ya kumuondoa ila bado FIFA iliwaambia TFF wampeleke Clara South Africa kwa vipimo vya hormones.

Inasemekana kwamba Clara yuko South Africa hadi sasa huku vipimo vya hormones vikiendelea na so far wanadai amekutwa na hormones nyingi za kiume hivyo anaweza asiruhusiwe kucheza soccer la kike tena.

TFF ilibidi watoe tamko la Clara alipo na kile kinachoendelea sio kukaa kimya tu. Na inasemekana TFF walikuwa wanajua toka mwanzo Clara ni mtu wa dizaini gani ila walitaka tu wafuzu kuingia kombe la dunia then ndo wamuweke pembeni.

View attachment 2386620

View attachment 2386621

View attachment 2386623

View attachment 2386624
Hua nakosa la kusema tusubil majibu
 
Back
Top Bottom