JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 631
- 960
Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa unapopata Chanjo za COVID-19 hazidhibiti mwili kutopata #COVID19 kwa mara nyingine. Chanjo zinaepusha mwili kupata homa kali na vifo vitokanavyo na COVID-19.
Baada ya kuchanjwa unapaswa kundelea kuchukua tahadhari zote kama kuvaa barakoa, kunawa mikono mara kwa mara na kujiepusha kukaa kwenye mikusanyiko.
Kufanya hivyo kutasaidia kupunguza kasi usambaaji virusi hivyo.
===
Even after you’re vaccinated, keep taking precautions
While a COVID-19 vaccine will prevent serious illness and death, we still don’t know the extent to which it keeps you from being infected and passing the virus on to others. The more we allow the virus to spread, the more opportunity the virus has to change.
Continue to take actions to slow and eventually stop the spread of the virus:
- Keep at least 1 metre from others
- Wear a mask, especially in crowded, closed and poorly ventilated settings.
- Clean your hands frequently
- Cover any cough or sneeze in your bent elbow